Wolper ni Mjamzito: Rich Mitindo aweka picha zao za "maternity photoshoot" mtandaoni

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,380
IMG_2376.jpg

Hatimaye siri imefichuka baada ya Rich Mitindo kuweka picha ya mpenziwe mwigizaji na mfanyabiashara Jackqueline Wolper akiwa na 'kibendi'. Wolper ambaye imekuwa ikisemwa ana ujauzito licha ya yeye mwenyewe kukana na hata kugombana na mwigizaji mwenzie Shamsa Ford, ameonekana mwenye furaha huku akisukuma kigari cha mtoto kama ishara ya mapenzi na matumaini kwa mtoto wao ajaye.
 
Najiulizaga mara nyingi sana,Hivi kwani ni lazima kuweka maisha yako halishi kwenye Haya masosho network.😏

Sasa hapo mbaya wake akiamua kumuangamiza si na mtoto anakosa.jamani sijui Kwanini watu wanashindwa kutofautisha maisha ya mitandaoni na halisi🥺

Kumlazimisha mtu ajue kutofautisha maisha na mitandao ya kijamii haiwezekani.badala afanye mambo yake kwa siri huko..hata kujifungua bado anaanza kuposti hicho kibendi huko duniani..mtu mwenyewe kahangaika kupata ujauzito bado anakazi kupost tena😔..binadamu anaekupenda humjui, anaekuchukia humjui wote wako kwenye kapu moja

Pongezi kwa kuwa mjamzito.😊Mungu amtangulie ajifungue salama.
 
Najiulizaga mara nyingi sana,Hivi kwani ni lazima kuweka maisha yako halishi kwenye Haya masosho network..

Sasa hapo mbaya wake akiamua kumuangamiza si na mtoto anakosa.jamani sijui Kwanini watu wanashindwa kutofautisha maisha ya mitandaoni na halisi

Kumlazimisha mtu ajue kutofautisha maisha na mitandao ya kijamii haiwezekani.badala afanye mambo yake kwa siri huko..hata kujifungua bado anaanza kuposti hicho kibendi huko duniani..mtu mwenyewe kahangaika kupata ujauzito bado anakazi kupost tena..binadamu anaekupenda humjui,anaekuchukia humjui wote wako kwenye kapu moja

Pongezi kwa kuwa mjamzito.Mungu amtangulie ajifungue salama.

Mkuu usitumie nguvu nyingi sana kushauri hawa watu wa Bongo movies,ni moja ya kundi lisilojitambua kabisa. Mimi hadi leo najiuliza Kigwangala aliweza vipi kukaa nao mezani na kuseal deal.
 
Mkuu usitumie nguvu nyingi sana kushauri hawa watu wa Bongo movies,ni moja ya kundi lisilojitambua kabisa. Mimi hadi leo najiuliza Kigwangala aliweza vipi kukaa nao mezani na kuseal deal.
Aise hapo ndo huwa nawachoka kabisa hawa raia ingawa kuna baadhi ya wasanii life styles zao nazielewaga ni mara chache mno kukuta familia ikiranda randa mitandaoni😏

Kuna sehemu nimeona mtu kasema kuwa alishajifungua miezi mitatu iliyopita.sasa sijui kama ni kweli ama lah
 
View attachment 1776380

Hatimaye siri imefichuka baada ya Rich Mitindo kuweka picha ya mpenziwe mwigizaji na mfanyabiashara Jackqueline Wolper akiwa na 'kibendi'. Wolper ambaye imekuwa ikisemwa ana ujauzito licha ya yeye mwenyewe kukana na hata kugombana na mwigizaji mwenzie Shamsa Ford, ameonekana mwenye furaha huku akisukuma kigari cha mtoto kama ishara ya mapenzi na matumaini kwa mtoto wao ajaye.
Sio mjamzito tayari ameshazaa dume. yule kijeba alishindwa kazi ndio maana akaenda kukodi mtoto wa chidi mapenzi atafutie kiki.
 
Heheheheh kumekuchaaaaah, watu na ujauzito wao uwiiiiiih.
Ila huyo mwanaume nimemuelewa kiukweli, najuta kuolewa mapema .
Umeolewa lini aunt?maisha yameensa kasi mpaka harusi imenipita.
 
Aise hapo ndo huwa nawachoka kabisa hawa raia ingawa kuna baadhi ya wasanii life styles zao nazielewaga ni mara chache mno kukuta familia ikiranda randa mitandaoni😏

Kuna sehemu nimeona mtu kasema kuwa alishajifungua miezi mitatu iliyopita.sasa sijui kama ni kweli ama lah
Alishajifungua kitambo huyo
 
Aise hapo ndo huwa nawachoka kabisa hawa raia ingawa kuna baadhi ya wasanii life styles zao nazielewaga ni mara chache mno kukuta familia ikiranda randa mitandaoni

Kuna sehemu nimeona mtu kasema kuwa alishajifungua miezi mitatu iliyopita.sasa sijui kama ni kweli ama lah
Mie nineona insta, lokole kasema ana mtoto wa kiume, wolper kareply kuwa lokole aache umbea, atatangaza rasmi yeye. Inaonesha, kweli tayari kashajifungua.
 
Mie nineona insta, lokole kasema ana mtoto wa kiume, wolper kareply kuwa lokole aache umbea, atatangaza rasmi yeye. Inaonesha, kweli tayari kashajifungua.
Tu muombee Mungu.
maisha ya kujalikana mitamdaoni ni stress tupu
 
Back
Top Bottom