Mwakinyo anataka kutafunwa na zimwi limjualo

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Habar Wana Jamii Forums

Leo nimeona nijaribu kutoa wazo langu juu ya Mambo yanayoendelea Nchini kwetu juu ya bondia wetu Mzalendo Alie kataa kupeperusha bendera ya nchi nyingine ambazo ni nzuri na hakika mpaka Sasa angekua bilionea na yeye ila akaamua kuwa mzalendo kwenye nchi Ambayo haikushiriki chochote toka anakuwa kama Bondia ila inataka kushiriki kumpoteza kweli Tanzania kichwa cha Mwendawazimu

Mwakinyo Tanzania hakuna aliye wahi kumjua wala kusikia kipindi ni zero ila wote tumepata kumfahau baada ya kuwa hero

Mwakinyo Bondia Ambae ameupandisha mchezo wa Boxing thamani Tanzania na Ameweza kushawishi makampuni makubwa kuwekeza kwenye boxing Leo hii watu wanakaa na Kuanza kujadili eti Mwakinyo na Kiduku ni Nani Tanzania one wanasahau before Mwakinyo amesha kuwa Africa one na bado kwenye boxer ni Africa one na Tanzania ni ndani ya nchi za Africa ila watanzania hawamtaki Africa one ila wanatafuta Tanzania one shame on you

Mwakinyo ni bondia Anayestahili heshima kubwa na ingefaa akajengewa Sanamu

Kiduku namuona kama mtoto wa Mama anae tafutiwa nafasi ya Mwakinyo kwa nguvu na watu wasio mpenda mwakinyo ndio maana kila siku wako bize kumponda Mwakinyo kutaka kumchafua mwakinyo kuwa Ana dharau ili tu Kiduku aonekane Msafi

Kama kiduku ni Bondia mzuri aende nje akalitafute Jina na yeye sio atake mseleleko.

1622361133767.png

 
Mwakinyo sio bondia wala nini mapambano yote hapa bongo anabebwa mfilipino alishinda mu Argentina pambano limekatishwa tu ukiangalia walipomalizia walikuwa kwenye move jamaa hakuwa kashindwa Ila refa aliingilia kati mpaka kapigwa ngumi na akamaliza pambano mpaka yule mwenzie muargentina akawa haelewi anamuuliza refa vipi yani ni usanii tu hakuna kitu huyo mwakinyo anakuzwa tu Hana maajabu
Akipata nafasi anapiga ngumi hovyo hovyo bila Kueleweka hakujua anapiga wapi
Ni kama tu ngumi zisizo na skills
 
Mwakinyo sio bondia wala nini mapambano yote hapa bongo anabebwa mfilipino alishinda mu Argentina pambano limekatishwa tu ukiangalia walipomalizia walikuwa kwenye move jamaa hakuwa kashindwa Ila refa aliingilia kati mpaka kapigwa ngumi na akamaliza pambano mpaka yule mwenzie muagentina akawa haelewi anamuuliza refa vipi yani ni usanii tu hakuna kitu huyo mwakinyo anakuzwa tu Hana maajabu
Akipata nafasi anapiga ngumi hovyohovyo bila Kueleweka aukujua anapiga wapi
Ni kama tu ngumi zisizo na skills
Mwakinyo Ana mapambano mangap na kashinda mangapi aliyo bebwa Tanzania ni mangapi??
 
Nikupongeze kwa mawazo yako ila haina maana ndio sahihi zaidi.

Naona mahaba kwa Mwamini yamekubeba zaidi mpaka unazidisha viwango vya usifiaji sasa na inaonekana wewe kwenye ulingo wa ngumi ni mgeni sana .

Sasa kabla ya kuanza kupamba huko waulize wenye ngumi zao kuhusu Michael Yomba Yomba na Jumuiya ya madola.

Ila kama hutakuwa na haraka basi ulizia pia kuhusu Rashidi Matumla kama utakuwa na muda waulizie kizazi cha kina Kinyogori kisha soma ulichokiandika hapo juu.

Naomba kuwasilisha .
 
Nikupongeze kwa mawazo yako ila haina maana ndio sahihi zaidi.

Naona mahaba kwa Mwamini yamekubeba zaidi mpaka unazidisha viwango vya usifiaji sasa na inaonekana wewe kwenye ulingo wa ngumi ni mgeni sana .

Sasa kabla ya kuanza kupamba huko waulize wenye ngumi zao kuhusu Michael Yomba Yomba na Jumuiya ya madola.

Ila kama hutakuwa na haraka basi ulizia pia kuhusu Rashidi Matumla kama utakuwa na muda waulizie kizazi cha kina Kinyogori kisha soma ulichokiandika hapo juu.

Naomba kuwasilisha .
 

Similar Discussions

28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom