data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,944 Reaction score 23,892 Jan 12, 2018 #1 Endelea hivihivi..
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,944 Reaction score 23,892 Jan 12, 2018 Thread starter #2 Fananeni tu styles ...hakuna namna it kills... Hapa ni kama namsikia Harmonize...lakini hamna shida.
TEAM 666 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2017 Posts 4,442 Reaction score 8,695 Jan 12, 2018 #3 Huyo dogo namuelewa sana
data JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 26,944 Reaction score 23,892 Jan 12, 2018 Thread starter #4 TEAM B-13 said: Huyo dogo namuelewa sana Click to expand... Mimi nimeanza kumuelewa baada ya wimbo huu..
TEAM B-13 said: Huyo dogo namuelewa sana Click to expand... Mimi nimeanza kumuelewa baada ya wimbo huu..
talentboy JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 2,104 Reaction score 2,086 Jan 12, 2018 #5 nilianza kumuelewa toka alipoachia dede akaja na teja,hii amekuja kumalizia kisahani...tumpe muda zaidi ashushe madini yakueleweka. Aendelee kukaza msuli.
nilianza kumuelewa toka alipoachia dede akaja na teja,hii amekuja kumalizia kisahani...tumpe muda zaidi ashushe madini yakueleweka. Aendelee kukaza msuli.
Perfectz JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 9,576 Reaction score 29,711 Jan 12, 2018 #6 Team WCB hapa.Tunaukuza music wa TZ
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,518 Reaction score 6,920 Jan 12, 2018 #7 Bora tuachane ndio wimbo bora kabsa kutoa wcb yote.
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 17,894 Reaction score 33,702 Jan 12, 2018 #8 ila sio siri mapenzi yanauma sana!
Econometrician JF-Expert Member Joined Oct 25, 2013 Posts 17,894 Reaction score 33,702 Jan 12, 2018 #9 Saju b said: Bora tuachane ndio wimbo bora kabsa kutoa wcb yote. Click to expand... huo wimbo ukiwa unapiga alafu una machungu ya kuachwa utatamani ufe
Saju b said: Bora tuachane ndio wimbo bora kabsa kutoa wcb yote. Click to expand... huo wimbo ukiwa unapiga alafu una machungu ya kuachwa utatamani ufe
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,086 Reaction score 39,585 Jan 12, 2018 #10 Yah at least.
scalethat JF-Expert Member Joined Oct 7, 2016 Posts 1,063 Reaction score 1,907 Jan 12, 2018 #11 Mimi naupenda dede toka kwa huyu kijana
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,639 Reaction score 72,787 Jan 12, 2018 #12 Ni muimbaji mzuri shalauti tu him
M mangelengele JF-Expert Member Joined Nov 4, 2014 Posts 1,293 Reaction score 1,102 Jan 12, 2018 #13 Naona nimeingia shule ya sekondari, napita wadogo zangu
fugees JF-Expert Member Joined Aug 13, 2012 Posts 2,868 Reaction score 884 Jan 12, 2018 #14 data said: Endelea hivihivi.. Click to expand... Ok poa kiongozi kumbe ndio hizi unazielewa hapo nimekusoma sana hakika joh makin hawezi eleweka now.
data said: Endelea hivihivi.. Click to expand... Ok poa kiongozi kumbe ndio hizi unazielewa hapo nimekusoma sana hakika joh makin hawezi eleweka now.
itakiamo JF-Expert Member Joined Nov 1, 2014 Posts 1,093 Reaction score 1,906 Jan 13, 2018 #15 Naukubali wimbo wake wa dede
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,657 Reaction score 6,551 May 28, 2021 #16 Dede Gundu Wale wale Aisee Lavalava noma sana. Ni fundi, anamkimbiza Mbosso