Lavalava ni bundi aliyetua WCB.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,627
21,457
Hakika hakuna kitu nilichochukia na ninachoendelea kuchukia kama kusainishwa na kuendelea kumuona Lavalava WCB.

Huyu muimba kaswida hafai kabisa kuwepo ndani ya kundi na tangu aingie WCB anazidi kutuongezea mikosi tu.

Ni mara mia nafasi yake tungebahatika kumpata mtu kama Shetta au hata huyu bwana mdogo Neddy kuliko huyu aliyetoroka madrassa na kuja kutuletea mikosi tu ndani ya WCB.


Hata katika wimbo wa zilipendwa kipande chake kibovu sana ,pale angekaa Shetta ,Shettani au baba Qaylah ingekuwa poa sana.


Huyu lavalava kwanza kakaa kishamba shamba halafu damu ya nguo hana kabisa.

Bora hata akaimbe baikoko ndio saizi yake , huku kwingine hakuwezi kabisaaa.

Screenshot_2017-09-06-21-10-50.jpg
 
Back
Top Bottom