Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Kabla sijafuatilia historia yake sikuwahi kujua kama anatimiza miaka 31 mwaka huu.. Anaonekana ni mdogo, ni kama hakui hivi. Shin Se Kyung ndio jina lake na of course ameigiza series nyingi sana...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau naona mtangazaji maarufu wa vipindi vya michezo wa kituo cha Clouds FM, Mbwiga Wa Mbwiguke hivi sasa amejiunga na kituo kingine cha redio cha Times FM. Je, pengo la Mbwiga kwenye vipindi...
12 Reactions
83 Replies
17K Views
Hatimaye siri imefichuka baada ya Rich Mitindo kuweka picha ya mpenziwe mwigizaji na mfanyabiashara Jackqueline Wolper akiwa na 'kibendi'. Wolper ambaye imekuwa ikisemwa ana ujauzito licha ya yeye...
2 Reactions
38 Replies
7K Views
Mambo si mambo huko Instagram, Mega Star wa Bongo fleva , Diamond Platnumz amemwaga Povu zito Kwa FORBES , jarida linalohusika na kutoa takwimu za ukwasi wa watu maarufu duniani , Kwa kutofanya...
13 Reactions
205 Replies
20K Views
Babu wa Loliondo a.k.a kikombe cha uzima aliweza kutikisha karibu Afrika nzima kwa madai ya kuwa yeye anaweza kupona ugonjwa wowote kupitia dozi moja ya dawa wa maji pekee. Wengi walitekwa na...
1 Reactions
41 Replies
15K Views
Mchana wa leo msanii wa kike kutoka lebo ya wasafi amesaini mkataba wa kuwa balozi mpya wa mtandao wa zantel ambao sasahiv wanakampeni Yao ya internet yenye kasi ya 4G
7 Reactions
35 Replies
5K Views
Msanii wa kizazi kipya Diamond Platinumz sasa anamiliki gari aina ya land cruiser v8 mpya! Rekodi ambayo Haijawai kuvunjwa na msanii yeyote katika nchi hii! Ikumbukwe v8 ni gari la kifahari...
1 Reactions
171 Replies
46K Views
Jina lake halisi ni Lee Ji Eun na amezaliwa mwaka 1993 alitoa wimbo wake wa kwanza akiwa na miaka 15 tu na tangu hapo hakurudi nyuma hata sekunde. Watanzania wengi tulimtambua baada ya yeye...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Shoga kidawa nasikia yuko Zanzibar na sadala(domo), Sijui ndo wameenda kuoana au ku shoot video, wanataka tu kutupa presha hapa wambea mxieew
7 Reactions
20 Replies
4K Views
Ni wasanii wa bongo freva ambao ukiachilia mbali mond, kiba, konde. Wana wafuasi wengi Sana kwenye mitandao ya kijamii. Hiyo inaashilia ukubwa wao na ni kiashirio cha kwamba wanakubalika sana...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Rais wa nchi ya Marekani Joe Biden akiwa na familia yake Mei 22, 2021 wameondoka kutoka Ikulu ya White House kuelekea Camp David Jimboni Maryland kwa mapumziko. Mapema kabla Rais Biden...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakati sintofahamu ya uanafunzi wa mtoto mzur Paula bado ikiwa imepamba Moto , nyota wa Bongo Fleva anayeikamatilia YouTube. Kwa sasa Rayvanny mnyakyusa kupitia ukurasa wake wa Instagram amempost...
5 Reactions
210 Replies
21K Views
Whoever knows. Is that the case? Ila poa tu, maana hili tangazo lao jipya la SimBanking ni tamu kinoma. Sasa sijui ni yale maskendo yake ya dudu la yeye au vipi? Awe makini? Au mnasemaje wadau?
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Habarini Wana Jf Niende moja kwa moja kwenye topic, kiukweli label kuoperate sio Lele mama Kama wengi wao wanavyozania maana inahitaji moyo wa Chuma Kama alio nao Rayvanny na Diamond platinumz...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
DAR ES SALAAM: MJANE wa aliyekuwa mfanyabishara bilionea Dk Reginald Abraham Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe ‘K-Lynn’ hana namna zaidi ya kupambana jino kwa jino kortini na watoto wengine wa Mengi...
11 Reactions
308 Replies
60K Views
Leo siku ya kutoa heshima za mwisho kwa Jemedari wetu JPM wilayani Chato, Baraka Mwakipesile, maarufu kama ‘Baraka Magufuli’ amepewa nafasi ya kuonyesha kile ambacho alikionyesha siku zote hata...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za usiku wana JamiiForums hope wote ni wazima. Siku ya leo, masaa machache yaliyopita msanii kwa jina la Rajabu abdul A.K.A Harmonize ameachia wimbo wake uitwao "attitude "...
1 Reactions
47 Replies
8K Views
Nimejaribu kuutafakari, kuifuatilia na kuusikiliza WIMBO huu mpya wa Harmonize Ila kusema ukweli hamna kitu hapa tumepigwa. Dogo aendelee kujifunza mbinu kutoka kwa Mwalimu wake mkuu Diamond...
2 Reactions
125 Replies
14K Views
Sijui ni kwanini wcb wanachukua magenious wa muziki coz ukiangalia safu yote pale wanajua mziki Nimeangalia list nzima pale hakuna mbovu hata mmoja Nimeangalia Diamond Harmonize Mbosso...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Back
Top Bottom