Kutana na Harmo Rapper msanii anayefanana na Harmonize na kutumia fursa hiyo ipasavyo

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Kutokana na kufanana huko amesema amejiingiza kwenye muziki na inamsaidia, hata wasichana mtaani anawang'oa sana kwa sababu ya mfanano huo na kuna label ya muziki imemchukua kutokana na mfanano wake
 
Aisee,sio kwa kufanana huko,ila naamini sauti zitakuwa tofauti.Lakini na mademu akili zao ni za kushikiwa,sasa wewe uvue pichu kisa kafanana na Harmonize....??
 
Hii inadhihirisha wazi wanaume tumegoma kutumia condom, hata ukiwa safarini ukapata demu unakamuwa kavukavu kumbe umemuachia na ujauzito juu na wewe hujui na hamuonani tena, results zake ndio hizi.

Na hii siyo kwa hawa tu ipo sana tu, na hapo ndipo ulipo ule utimilifu wa wanaume wengi kulea watoto siyo wao.

Huwa hainingii akili mtoto asifanane na baba wala na mama na bado ukaamini kabisa ni mtoto wako! Unajikaanga tu.
 
Hivi yule dogo aliyekuwa anafanana na Diamond aliishiaga wapi?
 
madem madem jaman tuna nini sisi kweli mtu kufanana na mtu anakugonga kiurahisi hapana aisee
 
Kutokana na kufanana huko amesema amejiingiza kwenye muziki na inamsaidia, hata wasichana mtaani anawang'oa sana kwa sababu ya mfanano huo na kuna label ya muziki imemchukua kutokana na mfanano wake

msen.ge tu huyo jamaa,anataka kutembelea nyota ya mwenzake.hii ndio bongo taifa lenye mambo kibao kwenye udongo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom