Jana nilicheki ile video yake ya Zuwena, Diamond Platnumz anaweza kiukweli sio kuimba tu Diamond ni muigizaji mzuri tu tena mbunifu saana.
Kama kuna watu ambao wako karibu naye wa mshauri afanye...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo tarehe: 04 Februari. 2023 ametembelewa na Msanii wa Kizazi kipya kutoka Wasafi, Mboso (Mbwana Yussuf Kilungi)...
Najua wengi tayari tunawajua kina Diamond na Sugu, nisingependa kuwaweka hapa maana hawa wapo levo za ma ivestor na mega business owners, washapita stage za kuhaso, kwa sasa wanaweka chao aidha...
Wakuu, mnakumbuka ile pisi kali nene, ina umbo zuri alilorithishwa na mama yake, slay queen wa Instagram bibi Sanchi ama Sanchoka?
Basi bibie huyu kumbe alibadili dini baada ya kuolewa na Alhaj...
Habari za muda huu jf members , Poleni na Covid19's fever
Let's us Go back to our topic.
Katika Sanaa huwa ni nadra Sana kutokea wasanii wawili au zaidi kuwa na aina moja ya Sanaa ambayo...
Hii tribulation imekua kama onyo kwa wasanii wabana pua wote.
Nadhani ule ubishi wa nani anafaa kupewa crown ya Hip-pop umeisha hakuna cha Young lunya wala young nani, hakuna anaeweza kubattle na...
mwanamuziki wa siku nyingi wa hip pop balozi dola soul kahojiwa jana na kituo cha tv cha DIZZIM TV,amesema ametoa nyimbo mpya iitwayo kombora na ni audio pia amewaasa wana muziki wa kitanzania...
Msanii Zuchu ni miongoni mwa wasanii ambao wamesajili katika lebo ya WCB inayomilikiwa na staa wa bongo Diamond Platnumz.
Baada ya kujiunga na lebo hiyo Zuchu ameonekana akiinuka kutoka kiwango...
Yule mtumishi wa Mungu bwn Munishi ameweka wazi juu ya issue yake ya kurudisha gari alilopewa kama zawadi na "Nabii" wa Arusha.
Mapema week hii Munishi alikuja hadharani na kuongea kimafumbo...
- Longido moja hiyo....
- Halafu huyu mama nilijua atakufa... Badala yake mtoto ndio kachomwa knife...
- Kikao cha mirathi kijijini Engikaret Longido...
- Kuna wadau wanaponda eti...
Huyu ni mwanasiasa ambaye kwangu Mimi ana sifa karibu zote za mtu kuwa Rais. Haidhuru ningekuwa mzungu ningesema, He is potentially presidential material.
Ana maono( vision) kiu ya kufanya mambo...
Najua Jf umu kuna watu wa kila aina, wengi wa habari wa mbea nk naomba mtueleze mnaofahamu.
Uyu Dj anae treand na Video zake akipiga miruzi, mara Anasema Friday.
Mwishoni mwa mwaka huu...
Mrembo matata nchini ambaye ni tajiri na ana connection na mamilionea wengi wa uingereza na marekani, sasa amepanga kuwekeza kwenye strippers club ili watu wapate burudani.
Awali inasemekana...
Well,kama kama heading inavyojieleza..nadhani SI mimi peke yangu anaedhani kua Kendrick Lamar ha deserve hype anayopata,..jamaa WA kawaida Sana..TENA SANA..for the first time namskiza jamaa...
PHIL COLLINS IS 72 TODAY
Golden Oldies is wishing English Singer, songwriter, multi-instrumentalist, and actor Philip David Charles "Phil" Collins a happy birthday today (born 30 January 1951)...
Kupitia Ukurasa wa Instagram (Insta-Story) Wa Star Muziki Africa Na C.E.O Wa Label Ya "WCB Wasafi" SIMBA [emoji881] diamondplatnumz [emoji881] Ame-Share Picha Iliyoonesha Mkataba Kwa Ufupi...
Kiukweli vyeo vya elimu na taaluma vimekosa hadhi ndio maana kila mtu anajipa prof,dokta,mwalimu na mambo kibao.
Mara yangu ya kwanza kumjua dokta mwaka ilikuwa 2011 nilipopanga na ndipo ukweni...
Huu mtandao tumeuvamia kwa mbele hasa kwa wasanii wetu wa afrika specifically hapa bongo.
Tunawafaidisha zaidi wao kuliko tunavyofaidika sisi. Yani msanii unajitapa video yangu ipo namba 1...
Naandaa uzi maalumu kwaajiri ya wapenzi wa muvi kali za hawa jamaa wa hip hop jina tajwa hapo juu wanaopatikana You tube
................................................................