bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,016
- 4,961
mwanamuziki wa siku nyingi wa hip pop balozi dola soul kahojiwa jana na kituo cha tv cha DIZZIM TV,amesema ametoa nyimbo mpya iitwayo kombora na ni audio pia amewaasa wana muziki wa kitanzania kurekodi nyimbo zao ndani ya nchi kwani kuna sehemu nyingi tu na nzuri za kurekodia kama vile mbuga za wanyama nk,
dola soul ameeleza changamoto walizokuwa wakikutana nazo kipindi cha mwanzo kabisa wakati bongo fleva inaanza ikiwa ni pamoja na wazee wa kipindi hicho kuuona kama ni muziki wa kihuni na kwamba wao ndio waanzilishi haswa wa muziki huu wa kizazi kipya ambapo mike Muhagama aliipa jina la bongo fleva enzi hizo akiwa redio one
anaendelea kusema kuwa wamarekani wanapenda kuona video za mwanamuziki kutoka sehemu husika na mazingira halisi na sio mwanamuziki anatoka Tanzania video anashuti south africa.
amesema kwa sasa makazi yake yapo chicago nchini marekani na anafanya kazi huko kwa sasa ana familia ya mke na watoto wawili, ana degree ya maswala ya technology kutoka katika chuo kikuu huko newyork