Kendrick Lamar is overrated

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Messages
688
Points
1,000

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2018
688 1,000
Well,kama kama heading inavyojieleza..nadhani SI mimi peke yangu anaedhani kua Kendrick Lamar ha deserve hype anayopata,..jamaa WA kawaida Sana..TENA SANA..for the first time namskiza jamaa nilikua high school mwaka 2011..kwenye ngoma ya Look Out For Detox.. Shit was real..alichana Sana..flow on point,lyrics..beat..wala hakua anapiga kelele kama sasa..now nashangaa watu wanamsifia Sana but kiukweli sijawahi kukoshwa na K Dot...hayupo hata kwenye list ya rappers wangu watano..My Top FIVE IS

1: J Cole

2:Drake

3:Big Sean

4:A$ap rocky

5: Pusha T
 
Forest Hill

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Messages
688
Points
1,000

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2018
688 1,000
sisi watu wa generation ya makundi maarufu kama EPMD na daz EFX wakitamba na pini lao lisilo chuja la real hip hop acha tu tupite kimya kimya.

thread kama hizi wahenga huwa tunapenda kuwa wasomaji.
haha daz EFX walikua vizuri but now mziki upo tofauti Sana..ume change..
 
Castr

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Messages
14,641
Points
2,000

Castr

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2014
14,641 2,000
sisi watu wa generation ya makundi maarufu kama EPMD na daz EFX wakitamba na pini lao lisilo chuja la real hip hop acha tu tupite kimya kimya.

thread kama hizi wahenga huwa tunapenda kuwa wasomaji.
Ungesema ulikua unamsikiliza Mc Hammer ningekubali lakini hip hop ya kuanzia NWA (gangster rap) mpaka hii ya leo nyingi zinafanana.

Mfano mimi naweza kusikiliza Rock the Party, Got 5 On It, Paparazzi n.k na nikasikiliza No Lie, Nicca Needs, Smell Like Money na nikawa na hype ile ile
 
Castr

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Messages
14,641
Points
2,000

Castr

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2014
14,641 2,000
haha daz EFX walikua vizuri but now mziki upo tofauti Sana..ume change..
Watumia auto tunes, T Pain, Lil Wayne, Future kwa kipindi kile ndiyo walisababisha Nas aseme hip hop is dead. Traditional hip hop ilikua inaenda omega sasa hivi wameibuka kina Desiigner, Migos, Travis, Lil Uzi wanazidi kuwakera wakongwe.
 
Forest Hill

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Messages
688
Points
1,000

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2018
688 1,000
Yru

True bro wanaitwa WAVE wana Rap with Melody..but ukiwasema vijana unakosea alienza kuua game Ni P Diddy na Bad Boy yake..alipoanza kusign wanaoRAp kibishoo wakina Mase...kama unakbuka Diddy alivompa BIG beat ya Juicy..Big alikataaa alimwambia hawezi kurap kwenye beat ya pop..atajidhalilisha
 
Lee Napoleon

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
889
Points
500

Lee Napoleon

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
889 500
Well,kama kama heading inavyojieleza..nadhani SI mimi peke yangu anaedhani kua Kendrick Lamar ha deserve hype anayopata,..jamaa WA kawaida Sana..TENA SANA..for the first time namskiza jamaa nilikua high school mwaka 2011..kwenye ngoma ya Look Out For Detox.. Shit was real..alichana Sana..flow on point,lyrics..beat..wala hakua anapiga kelele kama sasa..now nashangaa watu wanamsifia Sana but kiukweli sijawahi kukoshwa na K Dot...hayupo hata kwenye list ya rappers wangu watano..My Top FIVE IS

1: J Cole

2:Drake

3:Big Sean

4:A$ap rocky

5: Pusha T
Pambafu kabsa sasa Huyo dem Drake hapo anafanya nn, we shabikia taarabu huku hujui kitu
 
Lee Napoleon

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
889
Points
500

Lee Napoleon

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
889 500
KENDRICK THE LYRICAL DISEASE, UTAUMWA SANA TU.
SNOOP ALISEMA WE SHOULD NOT SOUND THE SAME, WAT WE CONSIDER IS LYRICS AND BEAT KILLIN + VIBES. HUWEZ MWAMBIA MTU ANAEIJUA RAP ASISIKIZE TO PIMP A BUTTERFLY NA THE DAMN.

COLLECTION YA
WE GONNA BE ALRIGHT
THE BLACKER THE BERRY
KING KUNTA
A.D.H.D
NA MATUSI MENGINE YANAMFANYA HADI HAO RAPPERS WAKO WAMUADMIRE KUSEMA THE KID IS PACK OFFSPRING.
MAPUNGUF LAZMA YAWEPO EVEN PAC ALIKUA ANAMDISS SNOOP NA STYLE YAKE BUT ALITHUBUTU KUSEMA NIGGA IS REAL.
STYLE LAZMA ZITOFAUTISHWE SIO UNASOUND THE SAME KAMA HAO AKINA MIGOS, AKA, CASPER, LIL UZ, 21 SAVAGE AMBAO 50 CENT NA SNOOP WANACHUKIZWA KILA CKU.

ONGEA KWA SENSE NEXT TIME.
CAN NOT ARGUE WITH TAARABU FAN AFU HII LECTURE FUPI KAMA HUTOELEWA BAKI NA UNDERSTANDING YAKO. WATAUMWA SANA WANAOMCHUKIA.
DRAKE IS TOO SOFT TO COMPARE WITH J COLE AND OTHER LYRICAL HARDCORE
 
Forest Hill

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2018
Messages
688
Points
1,000

Forest Hill

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2018
688 1,000
Dmx alisema Drake is a female rapper full stop.
I'm done
kwenye The Language Drake anasemaI don't know why they been lying but yo shit is not that inspiring....haha real..Kendrick hayupo hot kama mnavyosema..and usitumie nguvu kunilazimisha kumpenda Kendrick Lamar..nimemsliliza Sana sijamuelewa..hao kina lil yacht..lil Uzi..offset.,lil pump...lil watevaa sio topic and sijawahi kuwapenda angalia tena list..pia usipanic coz Ni mapenzi yangu..na maoni yangu binafsi..Usiwe mjuaji saaana..
 
Forum statistics

Threads 1,344,027
Members 515,307
Posts 32,805,535
Top