Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Baada ya kununua helicopter yake ya kifahari, Diamond Platnumz ndio anakuwa mtanzania wa kwanza kumiliki helicopter ya kifahari. Wapo matajiri wengine waliwahi miliki helicopter za kuungaunga ila...
13 Reactions
38 Replies
6K Views
Asee hiki kipind ni km kapewa baba Levo awe anatoa stori za safari zake na maisha yake,yan almost 65% ya kipind anasikika baba Levo Wazo;Baba Levo apewe kipind chake maalumu afanye kushare stori...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimekuwa mpenzi wa muziki wa hip hop kwa muda mrefu sasa, pia nimewasikiliza ma Rapa wengi sana wa hapa nyumbani na Afrika Mashariki kwa ujumla. The Real FID Q ndio Rapa nilie tokea kumwelewa...
11 Reactions
65 Replies
6K Views
Mondi akiwa anaimba nyimbo za aina hii ya bongofleva anatisha sana.Nimependa Sana hii ngoma kuanzia uandishi mpaka melody yake ni Kali.Ujumbe wa hii ngoma unagusa watu wengi
3 Reactions
41 Replies
6K Views
. Hivi imekuaje? Huyu jamaa anajiita Director Jowzeey kumharibia Malkia wa Muziki wa Injili Afrika Mashariki Rose Muhando na kumtolea video mbaya yenye giza na isiyo na mvuto. Kuna sauti ya Rose...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Msanii Diamond Platnumz akiongea katika uzinduzi wa album ya Barnaba classic iitwayo Love Sounds Different, amesema wasanii wengi wanakwama Kwa kukosa usimamizi na uwekezaji wa pesa. Diamond...
10 Reactions
71 Replies
7K Views
Huko usafini nadhani hadi muda huu watakuwa wamechanganyikiwa baada ya muda mrefu kumkosa Nandy African Princess. Sasa Msanii mkubwa wa kike wa bongo fleva amemsajili msanii aitwaye Yammy tz...
3 Reactions
42 Replies
7K Views
Nimepata taarfa bondia namba moja Afrika Mashariki, Karim Mandonga anajipanga kunyakua jimbo la Morogoro Mjini Ni kweli anaushawishi wa kushinda Ubunge kwasababu vijana wengi Tanzania wanampenda...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Tapeli Jack Pemba, alipowasili nchini Uingerereza mwanzoni mwa miaka ya 2000, alibahatika kukutana na Binti kigoli aitwaye Victoria Chaplin, binti Victoria alimtambulisha nyumbani kwao na...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
😳 Mapya yaibuka!! Licha ya Pele(82) kumkana mwanae huyo pichani wa nje ya ndoa maisha yake yote hadi alipofariki miaka 17 iliyopita, lakini kwa mujibu wa taarifa mpya kwenye mirathi aliyoiacha...
9 Reactions
22 Replies
3K Views
Hawavumi lakini wamo Kwanza video ambazo unakuta msanii anamsifia quality ndogo lakni utasikia kula chuma icho
19 Reactions
36 Replies
3K Views
Huyu ex best friend Wa wema sepetu pamoja na ex girlfriend Wa diamond siku hiz simsikii kabisa,hivi kapotelea wapi?? ========================= Hivi yule mwanadada aliyekuwa anatoka kimapenzi na...
2 Reactions
42 Replies
11K Views
Huu Ndio Utajiri wa Msanii Diamond Platnumz by Frumence M Kyauke. Nasibu Abdul Juma Issack, almaarufu Diamond Platnumz, ni msanii Afrika mwenye kipaji kikubwa cha uimbaji vilevile ni msanii...
0 Reactions
46 Replies
15K Views
Nasikitika Sana kukuona Dada yangu mziki unavyokupoteza mpaka unavaa nguo zisizo na staha. Mbaya zaidi wewe ni muislamu na waislamu wenzako wanavaa Kwa staha. Am so Disappointed . Why why why...
3 Reactions
139 Replies
32K Views
kiukweli huyu jamaa Baba Levo hapa tu kupewa rungu Wasafi na Media kapitiliza kwenye kuongea. wanakipindi chao cha kutafuta vipaji, una katabia cha ajabu kukosoa wanadamu na kuwakejeli. Hata kama...
2 Reactions
2 Replies
793 Views
Ommy unatuangusha
8 Reactions
297 Replies
22K Views
Sio ubishi, Lakini Mario ni msanii mkubwa kuliko Rayvanny na Harmonize na yuko serious na kazi kuliko kawaida. Mario miaka 3 ijayo atakuwa yuko mbali zaidi kuliko kawaida ya watu wanavyofikiri...
9 Reactions
33 Replies
4K Views
Leo umetimiza umri wa kustaafu kwa hiyari kama ungekuwa ni Mtumishi wa Serikali Mungu wa mbinguni akubariki, akulinde na kukuimarisha zaidi na zaidi Uwe na Uzima kisha uwe nao tele Johnthebaptist
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Kama kaisikiliza hii ngoma atakuwa analia sasa hivi.
9 Reactions
149 Replies
14K Views
Back
Top Bottom