Yuko Wapi Estam?

Umeniwahi kila siku nataka kianzisha thread kuuliza.
Pia aliimba kibao kingine na QJ kinaitwa unanifaa. Sei records ilikuwa hot
 
Huyu jamaa nakumbuka nikiwa shule olevel mwaka 2009 alitesa sana na hiki kibao chake cha Sikiliza wimbo aliomshirikisha Makamua
Enzi hizo nilikuwa napenda kuisikiliza Kiss Fm....enzi za dj maliz

Nawasilisha
Mm nimetoka kusikikiza hapa wimbo huu.....

Bonge la NGOMA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom