Watoto waanza kumjibu Diamond, wamwambia asisubiri July mpaka January wao wako mgongoni mwake mpaka akimbie Fani

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JF

Ukisikia mtu kushuka kunaanzaga kwa visingizio. Diamond hana hit song na zilizopo za kawaida sana. Utajiri tu ndio unambeba. Ona vijana wanavyomjibu
 
Attachments

  • 20230701_094656.jpg
    20230701_094656.jpg
    102.5 KB · Views: 11
Mkuu kushuka kwenye game ni jambo la kawaida ,ila game la bongo lina muhitaji diamond kuliko yeye anavyo li hitaji,

Achana na hao wasanii wa msimu, Diamond ajatoa back 2 back ila jamaa bado ni numero uno , na albam atakayo toa itampa miles kadhaa za kuendelea kutawala game.

Na unavyo sema ngoma alizotoa za kawaida utakua una ongopa , ngoma zote alizotoa zimefanya vizuri na always number hua haziongopi.
 
Mapenzi yako yaheshimiwe .....Ila siyo wote wako na mrengo huo binafsi nilimpenda Sana diamond Yule wa nenda kamwambie, nimpende Nani nk. Ila baada ya kuanza kusample vibe za kinigeria sikumpenda labda kidoogo wimbo ameimba na Omarion
 
Ayo unayo sema ya ku sample ndiyo yamefanya atawale game miaka kumi mfululizo,mda wake wa kushuka ukifika atashuka ila kwa sasa bado tupo nae kwenye game sana.

NB.SIONGEI USHABIKI NAKUPA FACTS. Chuki zako ziheshimiwe
 
Kaingia mkataba na shetani kuibomoa jamii yeye anafaidika na pesa shetani anafaida kwa jamii kuharibika.Zaidi ya kupromote ngono,uzinzi ulevi hakuna kingine
 
Mapenzi yako yaheshimiwe .....Ila siyo wote wako na mrengo huo binafsi nilimpenda Sana diamond Yule wa nenda kamwambie, nimpende Nani nk. Ila baada ya kuanza kusample vibe za kinigeria sikumpenda labda kidoogo wimbo ameimba na Omarion
Mkuu wewe unaishi nyuma ya muda sana
 
Wana JF

Ukisikia mtu kushuka kunaanzaga kwa visingizio. Diamond hana hit song na zilizopo za kawaida sana. Utajiri tu ndio unambeba. Ona vijana wanavyomjibu
Ndio wadudu gani hao na wanaimba nini?
Kila kazi ni matokeo, Diamond anaishi matokeo ya kazi zake waambie wakaze vinyeo nao wafike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom