Harmonize kashuka Orodha ya Wasanii wa Muda Wote Waliotazamwa Zaidi YouTube

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,774
24,209
Hii ni orodha ya wanamuziki wa kiume Tanzania waliotazamwa zaidi YouTube kwa muda wote, ambapo wasanii wa Bongofleva, Diamond Platnumz na rayvanny wameongoza.

1. Diamond Platnumz 2.2B
2. Rayvanny 955M
3. Harmonize 933M
4. Mbosso 567M
5. Alikiba 265M
6. Lava Lava 237M
7. Aslay 191M
8. Marioo 174M
9. Sifaeli Mwambuka 139M
10. Christopher Mwahangila 118M

Enzi yupo na Baada ya kujitoa pale mjini WCB Harmonize alikuwa anamfuatia Diamond kwa views, lakini sasa ni watatu.

Je, yaw yaw, ameanza kukata moto?

1688985152447.jpg
 
Hii ni orodha ya wanamuziki wa kiume Tanzania waliotazamwa zaidi YouTube kwa muda wote ambapo wasanii wa Bongofleva, Diamond Platnumz na rayvanny wameongoza.

1. Diamond Platnumz 2.2B
2. Rayvanny 955M
3. Harmonize 933M
4. Mbosso 567M
5. Alikiba 265M
6. Lava Lava 237M
7. Aslay 191M
8. Marioo 174M
9. Sifaeli Mwambuka 139M
10. Christopher Mwahangila 118M

Enzi yupo na Baada ya kujitoa pale mjini WCB konde boy alikuwa anamfuatia mond Kwa views......lakini now ni watatu

Je yaw yaw ......ameanza kukata moto View attachment 2683818
Kapambana sana sana hata hapo alipo sio mbaya as long as % inaishia mfukoni mwake
 
Back
Top Bottom