Moto umewaka, Diamond na Alikiba washindana kwa trending YouTube

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Jul 11, 2017
1,014
1,896
Wakuu,

Kuna vita ya trending kwa wasanii wetu wa bongo fleva.

Hivi siku za hivi karibuni Alikiba na Diamond platnumz wameonesha kabisa wako katika bifu zito za mziki katika Ku trend na kushindanda view YouTube.

Tuambie unaliongeleaje hill suala kwa mdau wa mziki kati ya TEAM KIBA NA TEAM DIAMOND
 
.
Screenshot_20230716-112239.jpg
 
Kwenye swala la trending hasa youtube kwa bongo WASAFI ni next level,but kwa sasa diamond ameshuka kidogo kwa hilo,kuna huu wimbo wake wa my baby ni flop sana ukilinganisha na ngoma zake za huko nyuma,haujatrend kabisa,ameniudhi kudakia hii ngoma ya enjoy kumbe sio yake jux ndio apewe shoutout ye abaki na hiyo MY BABY yake
 
Wakuu,

Kuna vita ya trending kwa wasanii wetu wa bongo fleva.

Hivi siku za hivi karibuni Alikiba na Diamond platnumz wameonesha kabisa wako katika bifu zito za mziki katika Ku trend na kushindanda view YouTube.

Tuambie unaliongeleaje hill suala kwa mdau wa mziki kati ya TEAM KIBA NA TEAM DIAMOND
Mbingu na Ardhi.

Unamkosea heshima sana Diamond Platinumz.
 
Kwenye swala la trending hasa youtube kwa bongo WASAFI ni next level,but kwa sasa diamond ameshuka kidogo kwa hilo,kuna huu wimbo wake wa my baby ni flop sana ukilinganisha na ngoma zake za huko nyuma,haujatrend kabisa,ameniudhi kudakia hii ngoma ya enjoy kumbe sio yake jux ndio apewe shoutout ye abaki na hiyo MY BABY yake
My baby ni nyimbo nzuri na inafanya vzur sema siaina ya nyimbo wabngo tunapnda
 
Back
Top Bottom