Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Ningependa kufahamu anaye mwandikia Ali mashairi siku hizi. Kwani Toka Ngoma ya UTU to the latest songs ie mahaba and on fire it seems mwandishi ni mmoja kabisa. Kusema kweli mashairi ya kwenye...
7 Reactions
15 Replies
3K Views
Mapungufu ndio haya; Kwanza hajatambulisha vyoo vilipo. Hadi sasa saa sita kasoro dakika 13 hatujala. Muziki mbovu balaa, baadhi ya spika hazipigi, hamna sound balancing, sauti yako hatuisikii...
18 Reactions
51 Replies
4K Views
Msanii Cheedy hivi karibuni Konde Kang walivunja mkataba nae ikalazimika imlipe million 10 kama sehemu ya kuvunja mkataba. Wakati akihojiwa na East Africa Radio, Cheedy amefunguka kuwa; "Mkataba...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Kijana mmoja aliyejitambulisha kwa majina ya Ahmad Yusuph Mzee, amejitokeza hadharani katika studio za Wasafi Media akidai kwamba yeye ni mtoto wa mzee Yusuph wa damu kabisa ambapo anasema kwamba...
12 Reactions
97 Replies
10K Views
Dar iwe na Tolerance zones bila police interference kama hizo bars zikusanye kodi kwa niaba ya dada poa itapiga hela sana. Mfano kuanzia Bamaga hadi Shekilango pawe tu red light district na TRA...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama ningepata nafasi ya kuongeya na Diamond ningemshauri amshike mkono huyu sister Rosa Ree. Mimi sio shabiki saana wa huyu dada na wala sio shabiki saana wa nyimbo zake. Lakini Mara nyingi...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Wakuu, Alikiba huyu ni mkongwe kama tujuavyo. Kadri muda ulivyosogea watu walitabiri kifo chake cha kimziki, ingawaje wale alioanza nao kuimba wengi wamepotea. Nimesikiliza hizi nyimbo mbili...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Amesema mwenyewe; "Basi nimepata mwaliko mwingine wa kwenda kuhudumu congo [emoji120][emoji120]. Wakasema tunaomba picha ya matangazo, nikawatumia picha nyingi wachague. Wakanijibu hawazipendi...
14 Reactions
67 Replies
6K Views
Huyu Mwamba anatisha sana huko Instagram anafikisha likes Milions na Comments nyingi, kuliko kina Diamond na wala haringi, wala Watanzania hawamjui kivile. Big up sana Mwamba kwa ubunifu uliotukuka.
6 Reactions
53 Replies
5K Views
Huyu mwamba amepotea sana katika ulingo wa musik, Namis sana song zake hasa "Tubonge" na "Badilisha" Aliko mwambien Funs wake tumemmis kinyamaa yaan
8 Reactions
49 Replies
7K Views
Lovebite aachia another hitsong TAJIRI. Ambayo inasumbua sana mtaani na kwenye platforms mbalimbali. Amerudi kwa kasi ya 4g.
3 Reactions
48 Replies
4K Views
Mtoto wa mchezaji kinda wa Yanga Clement Mzinze (19) (jina kapuni) amepongezwa na ukurasa rasmi wa shule yake kwa kufanya vizuri katika mtihani wa darasa la nne wa katikati ya mwaka kwa kupata A...
15 Reactions
50 Replies
12K Views
Katika hali ya kushangaza baba Levo ameulizwa yapi maoni yake kwa wanaomuita chawa?. Jamaa kasema hana muda na watu hao na muda wowote ule atampeleka Diamond nyumbani kwao Kigoma kwenda...
17 Reactions
69 Replies
10K Views
Hapa kuna baadhi ya mambo ambayo huenda usiyoyajua kuhusu 2Pac: Jina lake kamili: Jina kamili la 2Pac ni Tupac Amaru Shakur. Alipewa jina hilo kutokana na jina la kiongozi wa uhuru wa Amerika...
2 Reactions
3 Replies
6K Views
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya aliyewahi kutamba na vibao vikali mwenye maskani yake Ukonga Majumba Sita amejiingiza katika ulevi wa kupindukia. Wengi wanadai ni stress baada ya kushindwa...
13 Reactions
87 Replies
16K Views
Mwaba huya hapa, mshikaji kama amegoma kufa. Bado anatrend kinoma katika social network ukilinganisha na wasanii kibao ambao wangali hai. Picha za Pac zimekua ni brandi kubwa katika bidhaa kibao...
10 Reactions
16 Replies
2K Views
TANZANIA ina vijana waliojaliwa vipaji vikubwa mno na laiti kama wangepata sapoti zaidi ya hapa walipo, basi wangekuwa mbali mno kwenye sayari hii ya dunia. Kwa sasa vijana wetu wanapenyeza na...
0 Reactions
32 Replies
41K Views
Tuzo za TMA zimejaa aibu kubwa sana, uendeshaji wake unawashangaza hata waanzilishaji wa Tuzo Duniani. Tuzo za sanaa huwa zinadhaminiwa na watu wanaohusika na sanaa tu na sii vinginevyo. Grammy...
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Hivi kwa sasa kuna msanii yupo juu kuliko Marioo? Sasa hivi hata nyimbo anazoshirikishwa zina sound kama za kwake. Mfano; Baby nakuja Ananipenda NB: Fall ya Nandy naiona itakua poa zaidi...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Picha: Adam Mchomvu Baada ya lile sakata la kumpiga msanii Q Chila, ni karibu mwezi mmoja sasa sauti ya Adam Mchomvu haijapata kusikika kwenye kipindi cha XXL pale Clouds FM. Je, amekula ban...
10 Reactions
26 Replies
4K Views
Back
Top Bottom