Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

My spirit is telling something about Kanye West. God forbid!!! Please pray for Kanye West. In the pic the young Kanye West wearing an ANC t shirt with Nelson Mandela on it
1 Reactions
1 Replies
882 Views
Ndo lilikuwa tamasha pekee na la mwisho la mziki nililohudhuria mpaka na leo hii. Liliandaliwa na Tigo kama sijakosea mwaka 2014 pale viwanja vya leaders kinondoni. Hili tamasha lilikuwa na...
0 Reactions
5 Replies
895 Views
Star wa music wa injili afrika mashariki na Kati Rose Muhando amefanya mahojiano na Rabbi TV ya nabii Malisa wa mwanza na kusema marehemu Ruge alimtamkia kuwa wakongwe mlinga nitawanyoosha kwa...
5 Reactions
24 Replies
4K Views
"Ilikuwa ni Kiki, sina kitu niko apeche alolo[emoji24], najutia nimejidhalilisha[emoji24][emoji24]"- Bibi wa miaka 60 "Naomba radhi kwa Watanzania wote kwa hiki kitu kilichokuwa kinaendelea...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Sio hali ya kawaida Kwa mtu wa kawaida eliud kipchoge ambae ni mwanariadha ambae amezidiwa followers hata na gigy money, umber lulu na baba Levo kwenye ukrasa wa Instagram ila ajabu ni kuwa...
4 Reactions
61 Replies
4K Views
Kwenye kipindi cha xxl cha leo kilichorushwa moja kwa moja kutoka Konde gang Hq ameoneka IBRA. Ila kusema ukweli anyone kana hana furaha, nuru ipotea, na mawazo mengi yaani kwa ujumla yupo yupo...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Kuna taarifa za chini chini richi kaachwa na Jack sababu kila mtu kashindwa kuwa mvumilivu kwa mwezie. Sasa mwazo Jack alikuwa anahisi kama mumewe ana videmu uko nje akaanza vizia simu ya mumewe...
7 Reactions
120 Replies
13K Views
Nilishasema huyu kijana huwa wanamuonea sana linapokuja suala la maamuzi. Kule lile pambano ambalo alicheza na Juma Choki na ushindi akapewa Juma Choki aisee ule uamuzi wengi tuliutilia mashaka...
-1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wade Robson na James Safechuck, wamemshtumu Michael Jackson (MJ) kuwanyanyasa Kingono wakati wakiwa Watoto ambapo Kesi zimefufuliwa dhidi ya kampuni zinazomilikiwa na Nyota huyo, aliyefariki mwaka...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa Tanzania Wangapi mnawakumbuka kikundi cha EAST COAST enzi hizo wanatamba na kina GK,AY Mwana FA , Pauline zongo, Snea etc kwakweli Dunia ya Sasa hivi Kuna uchache sana wa vikundi vya muziki...
0 Reactions
6 Replies
972 Views
Yes, Kwasasa bongohii sijaona, mwenye umbo zuri lililosimama lisilo na mabonde kama Munalove, anaekula pale anafaidi, goma limetulia sana. Hata Kajala wanampaisha tu lakini Muna ana umbo zuri bana
13 Reactions
92 Replies
9K Views
Kwa wale ambao wamebahatika kuwa na wadogo wa kike. Kwanza ni furaha na inapendeza sana kuona ndugu wakipendana na kusaidiana katika mambo mbalimbali. Embu soma mkasa huu. Rabia alikuwa akiishi...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Nina ufungua uzi kwa kumtambulisha huyu kamanda kwa namna hii. Farid Kubanda alizaliwa August 13 katika hospitali ya Bugando iliyopo jijini Mwanza. Sababu mtoto kwa mama hakui alilazimika...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Simfahamu jina lake kwa Sasa Tanzania hakuna kama uyu jamaa kwenye comedy
18 Reactions
160 Replies
18K Views
Habari ya uzima wapendwa, Mimi ni mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania, natafuta mtu wa kusimamia misingi wangu yani management. Kama unawiwa naomba tuwasiliane. +255693214177 Kwenye platform...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sikusudii mjadala wa 'Team' za washabiki. Kwa kawaida wanamuziki wote wakubwa duniani, huwa wanalo kundi fulani la kijamii ambalo huko hukubalika zaidi. Walalahoi na waduni kielimu-Uswahilini...
5 Reactions
28 Replies
3K Views
Huyu jamaa amewatoa wasanii kibao kuanzia akina alikiba, Queen Darleen, hata Nai Nai Ommy Dimpoz na ngoma kibao ambazo huenda hujui kuwa ni mkono wake maana alikuwa haweki signature kwenye nyimbo...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Maana sielewi anaenda wapi na kinamsibu nini mpaka anakua hivi Zamani nlivomwona kwenye karate kid nliwaza atavokuja kuwa star mkubwa hata zaidi ya babake..lakini mambo yanavyoenda kinyume
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Profesa Kikwete mwenyewe alisema Diamond ndiye mwanamuziki bora Afrika! Yes, hapo hakuna cha Baaba mali, Youssou N dour, Angelique Kidjo, Khadija Niin, wote hawamfikii msanii mkali ambaye hajawahi...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
DC wa Pangani amezua gumzo baada ya kuonekana na tattoo ya mumewe hadharani. Ikumbukwe mumewe ni Mbunge wa Pangani na Waziri mwandamizi. Unampa asilimia ngapi DC wa Pangani kwa tattoo hii
18 Reactions
124 Replies
14K Views
Back
Top Bottom