Picha: DJ choka umri umeenda unajua

Picha: DJ choka umri umeenda unajua

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,466
Duh!! Kweli dunia ina mambo, eti Dj choka nae anajiita BATA BOYS, wewe si mtu mzima lakini? Tena una mke na watoto, cha kushangaza kutwa kuzurula na watoto wadogo eti na yeye anakula ujana mmh!! , sasa apo wewe na akina ben pol na rommy jones umri wenu unaendana? Wewe si baba lakini?, hayo mambo waachie akina rommy bhana we umri umeenda.

Halafu unatia aibu jitu zima kutwa ku post picha za ajabu ajabu instagram eti unakula ujana, yani kwenye account yako sijawahi kuona una post vitu vya maana zaidi ya upumbavu ambao watu wenye umri kama wako hawatakiwi kuvifanya, we mtu mzima unajua? Ebu kuwa mfano kwa vijana bhana unatia sana aibu.

Au na wewe ndo unataka kujifanya kama akina DJ KHALEED? Basi umekwama mzee jipange upya. Yani kabisa eti unapiga picha unaogelea , mara unapiga picha vyakula sijui yani vitu vya kitoto toto wakati mtu umri umeenda kabisa na familia juu.

Au ndo masharti ya U DJ? Inawezekana hatujui wengine kumbe mwenzetu unafuata masharti ya kazi, ila hata kama ila dah we too much mzee, kuna ma DJ wengi tu nawafahamu ila wewe too much, utoto mwingi sana ebu badilika, ulinikera sana juzi kati ku post picha ya uchi na mtoto wa kike yani mat@ko yote nje, acha kujitoa ufahamu bhana we mkubwa ujue?
 
Attachments

  • 1408879965402.jpg
    1408879965402.jpg
    72.3 KB · Views: 3,434
Dj choka umbo Lake ndyo linafanya aonekana mkubwa lkn bado ni bwana mdogo coz amezaliwa 1984 so ndyo kwanza kafikisha 30 kwa hyo mwache ale ujana

Thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu............
Nani kasema......mashavu yameshaanza kuchuma kunde afu we unamuita M-bebi!™
Yule ni kikongwe....wamecheza vikopo pamoja na Le Mutuz
 
Thubutuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu............
Nani kasema......mashavu yameshaanza kuchuma kunde afu we unamuita M-bebi!™
Yule ni kikongwe....wamecheza vikopo pamoja na Le Mutuz

Choka bwana mdogo sana..msimzeeshe,mwacheni ale bata umri unaruhusu sana na ndio maisha aliyochagua..
 
Simchukii i hate the fact anakaa na wanawake kutwa while she has a woman and a kid...anamfundisha nn mwanae
 
warumi

Huyu jamaa ovyo kweli mi nilikuwa namfollow insta ila kuna siku akaposti chupi ya mkewe ikiwa ina tumavimavi na tudamu nika mu an follow cku hyo hyo alaf mi namuona kama mshamba flan hv mi jitu la wapi hili jaman mbona kama ana tuelement twa u beche hv kazi kujipendekeza kwa wenye vyao anaboa na lipua lake kama aurus mabele xvfsjnugdjisan zake maku huyo
 
Last edited by a moderator:

Hhhhhhaaaaaa looo
 
Mweeeee! Sasa naanza kuamini kuwa mtu ukiwa na mwili mkubwa akili zinapungua....kwa hiyo wakati mwenzake anaposti picha yake ya asubuhi akitoka kuamka ye anapost chupi ya mkewe.......hatari...
 
Mweeeee! Sasa naanza kuamini kuwa mtu ukiwa na mwili mkubwa akili zinapungua....kwa hiyo wakati mwenzake anaposti picha yake ya asubuhi akitoka kuamka ye anapost chupi ya mkewe.......hatari...

karuka stage mjamaaq
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom