Wamegundua katuni (animation) zimepoteza uhalisia kutokana na kuwa na muonekano halisi kama binadamu

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,693
106,835
Kwa wapenzi wa Computer animated movies mtakuwa mnafahamu kua muvi za animation hasa za kati ya mwaka 2008-2023 zipo realistic sana hadi unashindwa kutofautisha kama hii ni animation au Muvi ya kawaida.

Kwa mfano ukiangalia muvi kama Frozen2, Coco, Encanto, The Croods, How to train your dragon, nk. They're so realistic hadi unaweza kuona details ndogondogo kama vinyweleo, pamba kweye nguo, strands of hairs nk.

Vinara wa kutengenza muvi realistic ni Pixar Studio, Dreamworks Studio na Disney Animation studio.

1686931808017.png

[Mirabel from Encanto, angalia Realistic. ]

Kwa mfano ukiangalia muvi ya Coco utaono details ndogondogo kama ziko kwa binaadam wa kawaida kumbe zimechorwa. Sasa imekuwa kama animation zimepoteza uhalisia na ladha yake kama animation. Ukiangalia animation za zaman kama Tarzan, Lion king, Toy story, Mulan, Aladdin, Atlantis, nk, unapata ile taste ya kuwa unatazama animation.

images (51).jpeg

[Hii ni animation ya kichina inaitwa Nezha Reborn, it's so realistic]

Kati ya miaka ya 2015-2021 kampuni ya Dreamworks Studio iliflop sana kwenye mauzo ya muvi zao ajili ya sababu hiyohiyo.

Kmpuni ya Illumination inayotengeneza Animation za Despicable Me/Minions wao hawakuwahi kuflop coz aina ya animation wanazotengeneza ni 3D lakini ukiangalia unaona kabisa hii ni animation. Upande wa Pixar waliendelea kufanya kimauzo kwakua brand yao ya Disney ni kubwa chchote watengenezacho watu hununua...kama wateja wa Apple Inc.

2020 Dreamworks ilipotoa muvi ya The Croods 2, ilipokelewa vibaya sana maana watu waliisema kua imejaa marangurangi sana coz it was so realistic. Kwa hali hiyo Dreamworks ilibidi wajitafute ili kuweza kurudi sokoni.

Mwaka 2018 Sony Animation studio wakishilikiana na Marvel Animation walitoa muvi ya Spiderman Into Spider-Verse. Muvi hii ilipendwa sana hadi ikabeba Oscar, na siri kubwa ya kufanya vizuri ni kutokana na aina ya Animation style waliyotumia. Hawakutaka iwe realistic kama hizi zinazotengenezwa Pixar au Dreamworks.

Dreamworks ikabidi waige mbinu hiyo hiyo wakaanza kutumia mfumo wa Non-Photorealistic Rendering (NPR) ambapo inamuwezesha animator kutengenza Animation ikiwa na mfanano wa illustration, painting, drawings nk. Katika mfumo huu wa NPR unaweza tumia pia njia ya Cel Shading ambapo animation inakuwa kama imechorwa kwa mkono hivi.

FB_IMG_1682889507151.jpg

[Picha ya animation iliyotengenezwa kwa mfumo wa Cel Shading]

Hivyo basi Dreamworks kwemye project zao zilizotakiwa kutoka 2022 kwendelea waliamua zitumie mfumo huo wa Non Photorealistic Rendering. Ndio maana ukiangalia muvi ya The Bad Guys 2022, Puss In Boots 2022 utagundua tofauti coz ndio zimetumia mfumo huo. Na gaaea ya kutumia huo mfumo hizo muvi zimeuza vizuri na Critics zinasifia.

Guess what makampuni mengi ya animation studio wamegeukia mtindo huo ndio habari ya mjini.
Nimeona trailer ya muvi ya Teenage mutant ninja turtles nao wanatumia mtindo huo.

1686932700402.png

[Observe The Bad Guys animating Style]
 
Kwa wapenzi wa Computer animated movies mtakua mnafahamu kua muvi za animation hasa za kati ya mwaka 2008-2023 zipo realistic sana hadi unashindwa kutofautisha kama hii ni animation au Muvi ya kawaida.

Kwa mfano ukiangalia muvi kama Frozen2, Coco, Encanto, The Croods, How to train your dragon, nk. They're so realistic hadi unaweza kuona details ndogondogo kama vinyweleo, pamba kweye nguo, strands of hairs nk.
Vinara wa kutengenza muvi realistic ni Pixar Studio, Dreamworks Studio na Disney Animation studio.
View attachment 2659873
[Mirabel from Encanto, angalia Realistic. ]

Kwa mfano ukiangalia muvi ya Coco utaono details ndogondogo kama ziko kwa binaadam wa kawaida kumbe zimechorwa. Sasa imekua kama animation zimepoteza uhalisia na radha yake kama animation. Ukiangalia animation za zaman kama Tarzan,Lion king, Toy story, Mulan, Aladdin, Atlantis,nk unapata ile taste ya kua unatazama animation.
View attachment 2659884
[Hii ni animation ya kichina inaitwa Nezha Reborn, it's so realistic]

Kati ya miaka ya 2015-2021 kampuni ya Dreamworks Studio iliflop sana kwenye mauzo ya muvi zao ajili ya sababu hiyohiyo.
Kmpuni ya Illumination inayotengeneza Animation za Despicable Me/Minions wao hawakuwahi kuflop coz aina ya animation wanazotengeneza ni 3D lakini ukiangalia unaona kabisa hii ni animation. Upande wa Pixar waliendelea kufanya kimauzo kwakua brand yao ya Disney ni kubwa chchote watengenezacho watu hununua...kama wateja wa Apple Inc.
2020 Dreamworks ilipotoa muvi ya The Croods 2, ilipokelewa vibaya sana maana watu waliisema kua imejaa marangurangi sana coz it was so realistic
Kwa hali hiyo Dreamworks ilibidi wajitafute ili kuweza kurudi sokoni....

Mwaka 2018 Sony Animation studio wakishilikiana na Marvel Animation walitoa muvi ya Spiderman Into Spider-Verse. Muvi hii ilipendwa sana hadi ikabeba Oscar, na siri kubwa ya kufanya vizuri ni kutokana na aina ya Animation style waliyotumia. Hawakutaka iwe realistic kama hizi zinazotengenezwa Pixar au Dreamworks.

Dreamworks ikabidi waige mbinu hiyo hiyo wakaanza kutumia mfumo wa Non-Photorealistic Rendering (NPR) ambapo inamuwezesha animator kutengenza Animation ikiwa na mfanano wa illustration, painting, drawings nk. Katika mfumo huu wa NPR unaweza tumia pia njia ya Cel Shading ambapo animation inakua kama imechorwa kwa mkono hivi.
View attachment 2659857
[Picha ya animation iliyotengenezwa kwa mfumo wa Cel Shading]
Hivyo basi Dreamworks kwemye project zao zilizotakiwa kutoka 2022 kwendelea waliamua zitumie mfumo huo wa Non Photorealistic Rendering. Ndio maana ukiangalia muvi ya The Bad Guys 2022, Puss In Boots 2022 utagundua tofauti coz ndio zimetumia mfumo huo. Na gaaea ya kutumia huo mfumo hizo muvi zimeuza vizuri na Critics zinasifia.

Guess what makampuni mengi ya animation studio wamegeukia mtindo huo ndio habari ya mjini.
Nimeona trailer ya muvi ya Teenage mutant ninja turtles nao wanatumia mtindo huo

View attachment 2659892
[Observe The Bad Guys animating Style]
Nafkiri aina ya animation iwe realistic ama sio haina maana sana, Stori inaplay part kubwa.

Pia hao jamaa sio vinara wa Animation, Gaming industries ni Next level kwenye Animation, wakitoa movie zao pia unaona utofauti wa Quality.

Mfano FFXV animation yao ilikua Ahead of time compare na kina Disney wakati inatoka 2016

Kabsa mkuu hadi kuna moja waliamua tu kuongeza vichwa vya wahusika walau kuwatofautisha kidogo na binadam
 
Nafkiri aina ya animation iwe realistic ama sio haina maana sana, Stori inaplay part kubwa.
Mkuu hata Animation style inaumuhimu sana. Ndio kilichoibeba muvi ya Spider-man into Spider-Verse, Spiderman Across the Spider-Verse. Dreamworks muvi zao hua zina stori nzuri sana, ila zilikua hazifui dafu kimauzo mbele ya Ilumination studio
Pia hao jamaa sio vinara wa Animation, Gaming industries ni Next level kwenye Animation, wakitoa movie zao pia unaona utofauti wa Quality.

Mfano FFXV animation yao ilikua Ahead of time compare na kina Disney wakati inatoka 2016

Mkuu mimi sio mpenzi wa video game kabisa. Ushaangalia muvi ya Adventure of Tintin
 
Back
Top Bottom