Natabiri penzi la Dimond na Tanasha kufika mbali

Natabiri penzi la Dimond na Tanasha kufika mbali

Kalpana

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
36,235
Reaction score
71,834
Kwanza ni mahusiano ambayo watu au mashabiki wengi hawajayakubali na hili litamfanya Dai ampende zaidi na kuwa prove wrong watu wanao yaponda mahusiano yao.

Lakini watu wanasahau kuwa mapenzi sio ya wengi ni kati ya wawili na wala mapenzi hayaendeshwi na likes za Instagram.

Halafu kingine Tanasha anaonyesha ni mdada mwenye heshima/upendo kwa familia ya mpenzi wake hata kwa mtazamo tuu tusiangalie mavazi yake au kuvuta kwake sigara na ku conclude kwamba ana tabia gani. Kwa wale walioweza kuona ile clip alopost Dai akiwa amempeleka kwao kwa picha ile mnaweza kuona ni binti wa aina gani.

Kingine kinachonifanya nione watadumu yani wameendana na Dai and am sure Tanasha anamuheshimu sana Dai na ndicho wanaume wanataka Heshimaaa uwe umezaliwa ulaya iwe kwenu mabilionea au unahela kumshinda mwanaume, but ukija kwa mwanaume yyte atapenda umheshimu. Ni hayo tuu wadau ngoja tusubiri tuone
 
Duh sasa mbona binti anakunja sana sura muda wa kupewa kiss

Mbona jamaa pamoja na kuact in love bado anajisahau kama yupo benet na binti

Dah valentine elfu mbili na nanilii huko shuaini zake imempa pigo jamaa hope tarzan atarudisha ka amani ka roho
 
Unataka acheke cheke ili iweje anacheka akipewa huba huko ndani inatosha
 
Yaani mlishamsahau Zari, Bongo bana maisha yanaeda kasi sana
 
Back
Top Bottom