Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Huyu binti amekuwa tunamuona wakizurura duniani na Rais mstaafu Baraka Obama. Leo nimekutana na picha zake mtandaoni, ni amejizeekea kabisa. Mwili umefumuka, hafanyi mazoezi kama mama yake...
17 Reactions
62 Replies
10K Views
Naweza nikasema orodha ya watangazaji wa redio hizi ambazo ziko jiji la Mwanza walinikosha hadi kutamani kusomea uandishi wa habari, enzi hizo kulikuwa hakuna mitandao nilitamani sana kuwafahamu...
3 Reactions
114 Replies
27K Views
Habari Wana JF. Jana taifa la Nigeria na wapenzi wa muziki (Afrobeats) tuliingiwa na simanzi baada ya kupata taarifa Za kifo cha mwanamuziki kutoka Nigeria Mohbad (27). Chanzo cha kifo bado...
6 Reactions
62 Replies
10K Views
Leo pitapita yangu nimekutana na sijui ni muweke steji hipi kama zile steji tunazopitia. Nimepiga hesabu zangu kwa nini maharage yameshindwa kuchacha serikalini ni Kawa na jiuliza kwa kundi kubwa...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Hii PERFUME ya Joslin, Producer gani alitengeneza. Aisee nani? Studio gani?
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Albert Mangwair__Mida mibovu ft Feroouz,Nature,Rah P,Dark Master🔥🔥🔥🔥 Albert Mangwair ft TID__Beef na Mangwair.. Flow iliyotumika humu, Chorus ya Tid aisee. Rest Easy Cowbama.
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Hii hapa ni list ya wasanii wa bongo hiphop, kizazi cha zamani kilichoshine wakati wote.. waasisi wa Bongoflava. Kipindi hicho Tanzania kukiwa na radio tatu tu na TV moja ya burdani, yes...
20 Reactions
77 Replies
8K Views
Taarifa za kifo cha muigizaji huyu Sir Michae Gamboni maarufu kama Professor Albus Dumbledore kilitangazwa na familia yake jana tar 28/9/2023. Mwigizaji Sir Michael Gambon amefariki kwa amani...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanangu wa udaku, Wema Sepetu kupitia kipindi chake cha 'Cook with Wema amezua balaa.' Msikilize hapa:
3 Reactions
56 Replies
7K Views
Kwa yeyote aliyekuwa akifuatilia mchezo huu wa redio atufahamishe wale jamaa siku hizi wako wapi? Akina Zodwa, Ray, Sadik, Dulla na Tausi pia kama kuna mtu anaweza kutusaidia picha za waigizaji wote.
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Naona tunajifunza kwa kasi kutoka #Kenya[emoji1254][emoji1241] #BURUDANI Mkongwe wa mziki wa HipHop Bongo Mr II Sugu @therealjongwe ametamba kuwa msanii kwanza Bongo kuwa Milionea na sasa ni...
15 Reactions
143 Replies
13K Views
https://www.instagram.com/reel/Cxuu2Oesp7c/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ== Anayefahamu hii movie yenye hiki kipande kwenye link naomba anitajie nipakue
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Producer Roy ambaye ni mdogo wake Bukuku pamoja na Enika alikuwa producer mkali sana. Ukasikiliza sound za maproducer wengi kama Manecky, KGT, Bob Jr na wengine wengi ni sound ya mziki alikuwa...
17 Reactions
222 Replies
49K Views
Nimegundua miaka hii tunasikiliza mziki mbovu kuliko wazee wetu. Tunasikiliza mziki kutokana na umaarufu wa mwanamuziki na si talent yake. Na kama tujuavyo, umaarufu ni kujitangaza tu. Huyu msanii...
2 Reactions
27 Replies
9K Views
Ni baada ya kufanikiwa kuvuka hatua ya Nusu Fainali katika Mashindano hayo ya Kusaka Vipaji ya ambapo sasa watashindana na Washiriki wengine ambao ni The 82nd Airborn Division All American Chorus...
13 Reactions
46 Replies
5K Views
Kupitia kwenye kipindi cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizugumzia kauli ya Harmonize akilinnganisha na mahojiano aliyoyafanya Ibraah na SNS kuhusu kutokulipwa ndani ya miezi 6 ambapo ilipelekea...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Huyu bwana mdogo ambae ni marehemu kwa sasa amefariki mwezi huu wa tisa. Nimejaribu kufuatilia chanzo Cha kifo ila sikupata muafaka naona tu waigizaji mchwara walikuwa wakimficha mama yake kifo...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Achana na ile kirikuu yake [emoji3][emoji3], jamaa kwanza nampongeza kwa ule uthubutu. Clouds wana bahati sana ya kuwa na mtu aina ya KP hasa kwenye kile kipindi chao cha ‘powerbreakfast’. Huyu...
34 Reactions
70 Replies
6K Views
Miaka kadhaa iliyopita, kwa mara ya kwanza Tanzania ilipata mwakilishi kwenye ligi bora ya kikapu duniani; NBA kupitia Hasheem Thabeet. Wapenda michezo na maendeleo kwa ujumla walifurahia...
23 Reactions
264 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…