Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Nataka niwamegee siri kidogo kwa nini Diamond ataendelea kuwaburuza wasanii wenzake kwenye kuinua na kuvitoa vipaji vipya. Nikichukulia mfano wa msanii wake Zuchu. 1. Ameakikisha Zuchu ana...
27 Reactions
69 Replies
9K Views
Dvoice_Ginnii Congratufuckinlations kid Hakika hii ni nafasi ya kipekee ambayo maunderground artists wengi huitamani sio kwamba hawana vipaji, hapana Ila Kila mmja anapata kwa wakati wake...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika ukurasa wake wa ig, chawa mwandamizi na mpambe Aristote aliomba msaada Huku akiwa kafungwa pingu. Alisema anaomba msaada wa polisiTanzania kabla hajauwawa na watu waliomkamata... Je...
0 Reactions
7 Replies
928 Views
Kweli mahakama inaona mbali, kama wangekubali huyu dada awe msimamizi wa mirathi na amiliki IPP Media, angekuwa ameshaimaliza. Muda wote yuko mahotelini Dubai, kwa asiyemjua anaweza kudhani...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Hatimaye ile ndoto ya muda mrefu ya msanii wa singeli kutokea Temeke ukipenda muite London boy D voice jinii inakaribia kutimia siku chache zijazo. Msanii D voice...
12 Reactions
61 Replies
6K Views
KAMA ANGEKUWA HAI, LEO ANGETIMIZA MIAKA 41. ALIZALIWA SIKU YA LEO. Nipe top5 ya ngoma unazozikubali kutoka kwake. Hakuwahi kuwa na ngoma mbovu ile nipe 5 tu za moto. Mimi hizi hapa...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Hongera sana msanii Juma Mkambala aka Jux kwa kufikisha subscribers million 1. Kutoka kwenye subscribers laki 4 hadi 1 million ndani ya miezi mitatu ni jambo la kupongezwa. Ni nzuri sana...
11 Reactions
28 Replies
2K Views
Msanii wa muziki Tanzania, Harmonize ameshinda tuzo tatu (3) Nchini Marekani usiku wa kuamkia juzi. Msanii huyo ameshinda tuzo hizo tatu za (AEUSA) katika vipengele vifuatavyo: Artist of the...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Album ya Feroouz SAFARI na album ya Daz Baba ELIMU DUNIA. IPI ILIKUWA HATARI ZAIDI??
0 Reactions
1 Replies
371 Views
Habari ya kusikitisha, ni Kwamba wachezeaji wawili nchini Rwanda wamefariki Usiku wa kuamkia leo kila mmoja akiwa nyumbani kwake. Hategekimana Bonaventure aka Gangi na Mume wa zamani za Irene...
12 Reactions
367 Replies
84K Views
Aliyekuwa Dancer wa Wasafi chini ya Diamond Platnumz, Bajuni H. Bajuni ametangaza gafla kuachana na kazi iliyompa umaarufu ya kucheza mziki katika Shows na Video za mziki. Ameandika kuwa leo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndoa ya mwanuziki Jay dee na mtangazaji mashuhuri wa radio Gardner G. Habash inasemekana imevunjika huku Gardner akihama Kimara alikokua akiishi na mkewe na kuhamia kwa moja wa ndugu zake wa...
6 Reactions
423 Replies
87K Views
Na Mwandishi Tukio la kihistoria, Jag Bains, mfanyabiashara mwenye umri wa miaka 25 na mmiliki wa kampuni ya lori kutoka Washington, ameandika jina lake katika historia ya televisheni ya ukweli...
0 Reactions
7 Replies
874 Views
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo amewataka Wasanii wanaovuta bangi na unga kujirekebisha na kuacha mara moja kwakuwa orodha ya wote...
6 Reactions
39 Replies
4K Views
Habari zenu! Hasa wapenda burudani wa mziki huu wa bongo fleva miondoko ya hip hop kwa Hapa Tz. Unajuwa miaka ya zamani kidogo kuanzia 1997~2009 mziki wa Tanzania ulipiga hatua kubwa sana katika...
15 Reactions
171 Replies
29K Views
Waswahili wanasema ngoja inyeshe tuone panapovuja 🤣🤣🤣🤣🤣 Yaani mmakonde kaka nalo moyoniiii weeee mwisho wa siku kaona hataaa ngoja alitoe tu . Kuna kipindi Kajala alikuwa karibu mno na body...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kikao cha kusikiliza rufaa ya Wasanii Mastaa nchini Whozu, Billnass na Mbosso kimefikia maamuzi ya kuwataka Wasanii hao kulipa faini ili waweze kuruhusiwa kufanya kazi za sanaa nchini kwa kufuata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Produza Abbah ameeleza kuhusu taarifa za kifo cha mmoja kati ya majeruhi wa ajali ya gari iliyotokea jana Novemba 11, 2023 kwa gari lililokuwa limeibeba crew ya Msanii Chino kugongana uso kwa uso...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Katika pitapita zangu nimekutana na hii picha ya harusi ya Freeman Mbowe mwaka 1991. Utaona ni kwa namna gani Mbowe alikuwa katika hadhi gani kwa miaka hiyo. Hii picha inafikirisha sana. Freeman...
24 Reactions
59 Replies
8K Views
Back
Top Bottom