Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Wakuu, Labda kama nimepitwa kidogo. Moja ya wasanii ambao hawasemwi sana lakini personally naamini walikua gifted ni Godzilla. Najua kifo kipo kinatusubiria wote lakini huyu mwamba siku zake za...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni umbea nliopata insta, kama ni kweli basi vunjabei anajua kutumia hela yake vizuri, huu Uzi bila comment ya cocastic hautanoga
9 Reactions
131 Replies
14K Views
MC na mtangazaji Nguli anafaa kupewa tuzo maalum kwa kuwezesha vijana kufikia ndoto zao katika Sanaa. Hivi karibuni alifankiwa kuwezesha vijana yapata 20 kucheza filamu yao ya PESA MAKARATASI...
6 Reactions
120 Replies
10K Views
Wasanii wengi wanaofanya kazi zao mikoani huwa wanaishia kutamba hukohuko mikoani lakini wapo wachache ambao walivuka boda na kupata umaarufu nchi nzima. Uzi huu tuwataje wasanii waliofanya kazi...
7 Reactions
86 Replies
7K Views
Leo nilkuwa sehem nakunywa khwa. Bwana mmoja alisema neno limenifikirisha sana. Huyo bwana aliropoka kuwa "kuliko kufa Mange kimambi ni bora wafe wanaume wa dar milion moja" Tuliangua vicheko vya...
131 Reactions
399 Replies
60K Views
Legal documents detail an agreement that has the 83-year-old Scarface actor paying over $30,000 monthly to support his youngest son. The court's mandate includes an initial sum of $110,000 to be...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu. Narudia tena kwa mara nyingine. Usicheze kabisa na mtu aliebarikiwa na Mungu. Kind David, the King of the United Kingdom of Israel and Judah alikuwa muuaji lakini alikuwa chaguo la...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Nikutakie kheri katika kumbukumbu ya Hii tarehe uliyobatizwa mh Freeman Mbowe Ni hilo tu Mungu wa mbinguni akubariki sana 😀
2 Reactions
8 Replies
647 Views
Hawa mabest wameshibana sana kama ilivyokuwa kwa Bonnie & Clyde.
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Kashfa za Unyanyasaji Kingono dhidi ya Wanawake zinazomkabili 'Rapa' Mkongwe Sean 'Diddy' Combs zimeanza kuathiri biashara zake hadi kumlazimu 'Puff' kuachia Uenyekiti wa Kituo cha Runinga...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Mcheza filamu wa Marekani Lena THE PLUG (miaka 32) ambae ameolewa na mcheza filamu mwenzie ADAMS(miaka 39) amefunguka kua kuhusu suala la sex kwa Sasa haenjoy sana na mumewe Kama zamani maana...
3 Reactions
62 Replies
7K Views
Young killer msodoki mwana hip hop asiye na swaga kabisa. Siku ya tarehe 2/12/2023 Ali achia album yake inayo kwenda kwa jina la too much amazing, yenye mikwaju 14. Nikaamua kujipa muda ili ni...
7 Reactions
52 Replies
5K Views
Lavelle Crawford ni stand up comedian and actor kutoka nchini Marekani. One thing I like about this guy is that tangu aanze kufanya stand up comedian kwa zaidi ya miaka 20 sasa kila akipanda...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
"Single Again" by Harmonize is a popular Afro-pop song that has taken the music world by storm. The song, which is produced by Dj Tarico and released under DK Company Ltd, is accompanied by an...
9 Reactions
22 Replies
5K Views
Msanii wa muziki Barakah Da Prince aliyewahi kutamba na nyimbo kama Siachani nawe, Siwezi na Sometimes, jana ameondoka kwa gadhabu kwenye interview ambayo aliifanya na MJINI TV. Interview hiyo ni...
11 Reactions
68 Replies
8K Views
Huyu kijana alisoma azania bwana
11 Reactions
122 Replies
11K Views
Aliyekuwa Katibu wa Uenezi CCM jijini DSM Komredi Haji Manara amesema yeye ni mtu makini, anayeheshimika na jamii na mwenye utu Manara amesema " Haji wa Social media na Haji Real ni Watu Wawili...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Nadhani Mwaka 2023 ndio tumeshuhudia vifo vya watu wengi mashuhuri. Iwe kwenye michezo, siasa na Sasa kwenye anga ya biashara. Ambapo siku ya Jana kulitokea kifo Cha mfanyabiashara mashuhuri...
7 Reactions
99 Replies
7K Views
Kwa wale wafuatiliaji wa Series maarufu ya THE 100 mtakuwa mnamfahamu yule muigizaji aliyejizolea umaarufu na kujulikana kwenye series hiyo kama the red queen akiigiza kwa jina la Octavia Blake...
3 Reactions
42 Replies
6K Views
Diamond amenza kufulia kimuziki. Anatengeneza kiki za kijinga. Jana ameibiwa Kofia Lengo ili atrend mtandaoni. Bado anachakujifunza kutoka kwa wakina Davido ,Rema
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…