Lena mke wa Adams: Nafurahia Zaid sex nikifanya na wanaume wengine

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,497
99,296
Mcheza filamu wa Marekani Lena THE PLUG (miaka 32) ambae ameolewa na mcheza filamu mwenzie ADAMS(miaka 39) amefunguka kua kuhusu suala la sex kwa Sasa haenjoy sana na mumewe Kama zamani maana wamezoeana Sana.

Amefunguka hayo katika interview ya utambulisho wa filamu mpya aliyotoa hivi karibuni na JASON LUV Chini ya director Adams ambae Ni mumewe wa ndoa.

Mtangazaji Adin Ross alimuuliza,
"Vipi umepata experience gani ukifanya na mumeo ndo director Yuko behind the camera anakuangalia" kajibu "kawaida Sana sn maana pale tuko kazini na sio kwny mahusiano"

Mtangazaji Adin Ross kauliza Tena
"Kati ya Jason na mumeo Nani anakukosha zaidi kunako faragha"

Lena The plug akajibu,
"Msema Kweli mpenz wa Mungu, Jason kanikosha Sana, na sio kwamba Mume wangu ADAMS hajui, Bali Ni kwasababu JASON LUV Ni mwanaume mpya kwangu na alikua an vitu vyake vya kipekee. Kila mwanamke anaijua ladha ya mwanaume mpya inavyokua."

Mtangazaji Adin Ross alipomgeukia Adams,kuhusu suala la mkewe kukutana na mwanaume mwngn mbele Yake analichukulia kwa uzito gani.

Akakiri kua kwake Ni Jambo jema sana linaongeza chachu ya mapenzi Kati Yao maana Kwny mahusiano kuchokana na kukinaiana kupo sana, hata yeye kavumiliwa Sana tu na mkewe anapokwenda kukutana na wanawake wengine. Akirejea kwa mkewe inasaidia kumuona mpya kila mara.

Source: Dailymail
Screenshot_20230714-211946.jpg
 
Uhuru wa nafsi ukizidi sana hugeuka uwendawazimu.

Hao watu sijui hata huwa wanawaza nini vichwani mwao ukiondoa huko kuwa na maendeleo makubwa kunakozidi kuwahamisha kwenye asili ya ubinaadamu.
Ndo wanajikutaga wanafunga ndoa na mbwa, paka. Kuna mmoja alifunga ndoa na jengo refu kwenye mji wake na shela akavaa. Anasema sijui jengo limempa faraja muda sana, sijui lina upepo mwanana. Hata sikuelewa nikaachana na hiyo habari.
 
Back
Top Bottom