Haji Manara: Haji wa mitandaoni na Haji halisi ni watu wawili tofauti. Siishi kama mnavyoniona mitandaoni

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,147
Aliyekuwa Katibu wa Uenezi CCM jijini DSM Komredi Haji Manara amesema yeye ni mtu makini, anayeheshimika na jamii na mwenye utu

Manara amesema " Haji wa Social media na Haji Real ni Watu Wawili tofauti" na kama kuna mtu anabisha basi akawaulize Rafiki zake na Watu wake wa Karibu

Haji Manara amesema yeye haishi yale maisha ya mitandaoni bali ile ni Kazi kama Kazi nyingine

Source: Clouds TV
 
Sawa, kufilwa na wenzake ipoje? Tunaomba aje kutufafanulia hili
 
Manara anapenda kuongelewa sana umalaya sasa anafanya wazi wazi na hovyo
 
Back
Top Bottom