Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mwenye kujua namna mirathi ya celebrity Marehemu William Malecela a.k.a Le Mutuz ilivyogawanywa atujuze. Nyumba (2), apartments (3), akaunti benk, online TV na Magari Soma Pia: Le Mutuz TV...
8 Reactions
76 Replies
6K Views
Katika historia ya muziki wa Bongo Flava na Afrika Mashariki kwa ujumla, jina la Vanessa Mdee linabaki kuwa alama ya mafanikio, ubunifu, na ushawishi mkubwa. Vanessa allijijengea himaya yake si tu...
8 Reactions
104 Replies
2K Views
Rais wa shirikisho la muziki nchini Addo November ametoa taarifa fupi kuhusiana na kifo cha Mwanamuziki wa Injili Irene Robert, kuwa alikutwa katika chumba cha Hotel, akiwa mtupu huku akiwa...
9 Reactions
69 Replies
3K Views
Mtunzi wa muziki aliyeshinda tuzo ya Grammy, Lebo M, amemfungulia kesi mchekeshaji Learnmore Jonasi akidai dola milioni 27, akisema kuwa alimtafsiri vibaya wimbo wa Circle of Life kwa kusema...
1 Reactions
4 Replies
177 Views
Hivi Wastara yupo desperate kiasi hicho mpaka atembee na dudubaya ? Kama ni kweli wastara amekubali kudate na dudubaya na ikiwezekana waitane mke na mume, basi naweza kusema couple yao ndio...
13 Reactions
65 Replies
2K Views
Bilionea Leonid Radvinsky, Mmarekani mwenye asili ya Kiyahudi aliyezaliwa Ukraine mmiliki wa mtandao wa OnlyFans (aliyezaliwa 1982), amekufa kwa saratani akiwa na umri wa miaka 43 mnamo Machi 20...
15 Reactions
159 Replies
3K Views
Nanukuu. Ni kwa mioyo mizito kwamba familia yetu inashiriki kifo cha ghafla cha mpendwa wetu Chuck Norris jana asubuhi. Ingawa tungependa kuweka mazingira ya faragha, tafadhali fahamu kwamba...
22 Reactions
104 Replies
2K Views
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia Halima Haji wa Kibaokata kutojishughulisha na sanaa kwa miaka mitatu kwa kosa la kusambaza video isiyozingatia maadili. Aidha, BASATA imemtaka msanii...
2 Reactions
41 Replies
1K Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Rapa Nicki Minaj na kampuni yake, Pink Friday Productions, wamefunguliwa mashtaka wakidaiwa zaidi ya dola 275K (takriban Tsh. Milioni 714.2) na kampuni ya 24/7 Productions kutokana na gharama za...
0 Reactions
1 Replies
235 Views
Mwaka 2006 ndiyo ulikuwa mwanzo wa kufahamika kwa binti mdogo toka Pennsylvania aitwaye Taylor baada ya kusign mkataba na label ya Big Machine Record, mwaka huo aliweza kutoa album ya country...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Wasalaam! Jumapili tulivu kabisa, nime "tune" Wasafi TV , kumcheki ndugu yangu masanja kwenye Wasafi Sunday worship, nakutana na "Pisi" moja kaliii sanaaa! tena yenye mzigo heavy heavy, naona...
1 Reactions
81 Replies
10K Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
THE ROCKAZ ATHEN "Kwenye Beat ya lamar ,Chief na Mamuu.!! Wa kitaa / Huku Natangaza njaa , The side Nakupa Raha/ Rockaz tumejimake for Real , hatupo feet/ Mabisto Si mnatucheki and this is How...
2 Reactions
1 Replies
102 Views
Kipindi nasoma chuo kuna binti alijifanyaga sista duu.mara paa baba yake mzazi akafariki. Rafiki yake wakaribu akatoa taarifa,tukajikusanya kukodi coaster kwenda msibani Binti mfiwa kidogo...
17 Reactions
96 Replies
7K Views
wakuu ====== Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara anashikiliwa Kituo cha Polisi Central. Manara muda huu anahojiwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma mbalimbali za udhalilishaji mtandaoni...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Mwanadada anayefahamika kama Azra (Maarufu kama Ronaldo) amekutwa amefariki dunia ndani kwake kisarawe huku mwili wake ukiwa umevimba, tukio hilo limetokea leo Jumatano Juni 11, 2025 baada ya...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
📰Taarifa mpya zinazogusa hisia zimethibitisha hali tete ya ndoa ya mwanamuziki nyota Justin Bieber na mkewe Hailey Bieber. Inadaiwa kuwa Hailey amefikia hatua ya kuchukizwa sana na ukaribu wa...
26 Reactions
72 Replies
5K Views
Wakuu, kati hawa miamba wawili dube, Marley nani alikuwa mkali kwako? Kwangu mimi kura ipo kwa dube.
3 Reactions
40 Replies
2K Views
MADEE Historia ya Pendo, aliyekuwa mpenzi wa msanii Madee, ni hadithi ya kusikitisha ya kifo chake kupitia ajali iliyotokea miaka mingi iliyopita,Ni miaka takribani 16 Tangu kifo cha pendo...
5 Reactions
10 Replies
341 Views
Back
Top Bottom