Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Huu ni ukweli wakuu hii ni nyimbo ambayo hata ukiiskia tu hisia za kulia inakujia hii nyimbo ni nyimbo ambayo haitowahi kutokea kwenye muziki wa bongo flava 🙌🥲 hakuna na haitowahi kutokea nyimbo...
19 Reactions
116 Replies
7K Views
Aliewahi kuwa Mke wa Kaka wa msanii Diamond Platnumz mwanadada Malaika, ameongeza ukubwa wa Lips zake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Malaika amepost video inayomuonyesha akiwa na Lips nene...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Mnaofahamu naomba mnijuze tafadhali! Walipatana hao watu kwenye hicho kibao si mchezo. Pia ni nani alikuwa analizimua lile goma pale mwishoni walipoanza kuimba kwa kimakonde? R.I.P Tongolanga...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Actor Barkhad Abdi only received $65,000 for his award - winning supporting role in the film captain Phillips. After production he returned to selling mobile phones in his brother's shop.
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Nyota ya Kikundi cha Burudani Misso Misondo inaendelea kung'aa kimataifa baada ya kupostiwa na Msanii mkubwa wa nchini Marekani Chris Brown. Hii ni hatua kubwa kwao kama kikundi cha Burudani...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Angalia hapa jinsi Dj Ally anavyotamba na Mandinga yake. Anakwambia tafuta hela ili uwe na machaguzi mengi.
5 Reactions
85 Replies
7K Views
Haji Manara amejibu swali la wadau wengi walioliza kuhusu kufanyika kwa sherehe ya ndoa yake aliyofunga na Mrembo Zailyssa. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Manara amesema, "Naulizwa sana...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Langa Kileo (msanii wa Hip Hop Tanzania, pichani) amefariki dunia leo hii. Langa alipelekwa hospitali akiwa hajitambui. Anadaiwa kuwa alikumbwa na Malaria kali sana, Hali iliyopelekea kukimbizwa...
2 Reactions
328 Replies
59K Views
Limekuwa ni jambo la kawaida kuona watu maarufu wakijengewa masanamu yanayofana na mionekano yao. Baada ya Rapa Take off kuaga Dunia mwaka 2022, Mr Official ametuletea sanamu lenye kufanana na...
1 Reactions
2 Replies
628 Views
Achana na Orodha ya Wasanii wenye mkwanja mrefu Afrika, leo Mjanja M1 nakuletea Orodha ya Wasanii wa Kiafrika walioingiza mashabiki wengi hadi kufikia mwaka 2023 kwenye matamasha yao. HII NDIO...
1 Reactions
4 Replies
971 Views
Nataka nianze kumsikiliza huyu mwamba .. baada ya kujua kuwa Yeye na studio yake wameproduce Soundtracks za kwenye Creed 3 . Wanazi wa hip hop Scars Extrovert Nipeni ngoma tano Bora za huyu...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Msanii wa kizazi kipya nchini na CEO wa Kondegang Harmonize, amehofia kurogwa na wapinzani wake ili wimbo wake ubume na usifanye vizuri. Msanii Harmonize anatarajia kutoa wimbo wake kesho ambao...
2 Reactions
5 Replies
891 Views
Madam Ritha amechukizwa na tabia ya vijana wadogo kumtongoza. "Baada ya lile tangazo la kutafuta mpenzi vijana wengi wamenifata sana DM wengine ni watoto wadogo nikiwaangalia hawana hata...
23 Reactions
114 Replies
8K Views
Yuko wapi mfanyabiashara na tajiri Hussen Pambakali? Jamaa alikuwa na maduka kila kona ya mji, alikuwa na biashara kila kona alikuwa tajiri anayemiliki marange na maV8 alikuwa akitembelea maduka...
13 Reactions
97 Replies
13K Views
Naanza na Ja Rule. Mwamba alitikisa miaka ile kwanzia mziki mpaka picha zake zilikuwa zinabandikwa sana kwenye magari. Afu mwamba mwingine ni Nelly aliwaharibu sana vijana wa Kitanzania kila...
28 Reactions
168 Replies
10K Views
Baada ya kuachia wimbo wa "Mapozi" akishirikiana na Byser pamoja Jay Melody, staa wa muziki wa Bongo Fleva Naseeb Abdul amerudisha maneno ya shukurani kwa Msanii Mr Blue "Byser". Kupitia ukurasa...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
Huyu jamaa ni habari nyingine, baada ya kupigana na kuchakaza mabondia kadhaa ndani na nje ya nchi. Jamaa ameamua tarehe 27 apigane na mabondia wawili siku moja.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Maisha ya ustaa hutesa wengi sana, ila kwa kua ndio wamechagua ndio njia ya kupatia ridhiki hawana budi. Kwa sasa waweza sema hadji manara ni vile amependa kuishi vile anachofanya, kwa hali ya...
2 Reactions
8 Replies
789 Views
MAREKANI: Rapa Mkongwe na Mfanyabiashara, Curtis Jackson a.k.a 50 Cent ameshtakiwa na Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Power 106, Bryhana Monegain, anayedai jeraha alilopata baada ya kupigwa na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…