Nyota ya Misso Misondo inaendelea kung'aa Kimataifa

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Nyota ya Kikundi cha Burudani Misso Misondo inaendelea kung'aa kimataifa baada ya kupostiwa na Msanii mkubwa wa nchini Marekani Chris Brown.

Hii ni hatua kubwa kwao kama kikundi cha Burudani, kwani post hii ya Breezy inaongeza Milage kubwa sana ya kuheshimiwa kwa kundi lao kiburudani.

Ni mwezi tu umepitia tangu Misso Misondo walipoukwaa ubalozi wa Benki ya kifedha ambapo inasemekana kuwa wamelipwa Mamilioni ya Shilingi kwenye dili hilo.

20240129_180858.jpg


HONGERENI MISSO MISONDO.

Written by Mjanja M1
 
Back
Top Bottom