Yuko wapi mfanyabiashara na tajiri Hussen Pambakali?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Yuko wapi mfanyabiashara na tajiri Hussen Pambakali?

Jamaa alikuwa na maduka kila kona ya mji, alikuwa na biashara kila kona alikuwa tajiri anayemiliki marange na maV8 alikuwa akitembelea maduka yake na Range.

Jamaa alikuwa na pesa sio poa, ulikuwa ukisikia jina lake basi unajua unazungumzia mtu maarufu na mfanyabiashara mkubwa.

Jamaa yuko wapi sikuhizi? Kipindi kile cha Makonda ni miongoni mwa waloitwa Central kwa tuhuma za Unga!

Yuko wapi? Kaishia wapi?
 
Yuko wapi mfanyabiashara na tajiri Hussen Pambakali?

Jamaa alikua na maduka kila kona ya mji, alikua na biashara kila kona alikua tajiri anayemiliki marange na maV8 alikua akitembelea maduka yake na Range

Jamaa alikua na pesa sio poa ulikua ukisikia jina lake basi unajua unazungumzia mtu maarufu na mfanyabiashara mkubwa

Jamaa yuko wapi sikuhizi?Kipindi kile cha Makonda ni miongoni mwa waloitwa Central kwa tuhuma za Unga!

Yuko wapi?Kaishia wapi?

Hussein Miraj Farouk ndio jina lake kamili by then akiishi Mwananyamala koma koma, alifunga kampuni kama tu ambavyo Sumry alifunga kampuni na kuhamia kwenye kilimo.

Kumbuka, biashara ya nguo ilikuwa zuga tu, huenda kuna biashara zaidi na ndio utaona vijana wengi wa Kino walilzimika kufunga kazi zao.
 
Hussein Miraj Farouk ndio jina lake kamili by then akiishi Mwananyamala koma koma, alifunga kampuni kama tu ambavyo Sumry alifunga kampuni na kuhamia kwenye kilimo.
Kumbuka , biashara ya nguo ilikuwa zuga tu, huenda kuna biashara zaidi na ndio utaona vijana wengi wa Kino walilzzimika kufunga kazi zao .
Anafanya large scale ?
 
Maana wengine wanasema alifilisika.....
 
Back
Top Bottom