Manara hatoacha drama kwa sababu ndio zinampatia ugali

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,197
1,835
Maisha ya ustaa hutesa wengi sana, ila kwa kua ndio wamechagua ndio njia ya kupatia ridhiki hawana budi.

Kwa sasa waweza sema hadji manara ni vile amependa kuishi vile anachofanya, kwa hali ya kawaida huwezi oa kila mwaka, na kuwapa talaka na kuoa tena.

Kwani aliowaacha wana kasoro gani? Aliyeoa sasa ana ukamilifu gani? Ni hivi, siku zote ukiwa star ili umaintain ule ustar basi usikose vituko.

We ujui kitu ni kwamba manara kwa sasa hana cha kufanya ili umaarufu wke uendelee kwa sababu kwenye mpira ndio wamemfungia.

Kingine manara anahitaji aendelee kutajwa midomoni mwa watu kwa maana awe hits siku zote
ili zile tenda aendelee kuzishikilia kwa maana anawakilisha kampuni nyingi mno, na pesa anazopata kupitia hizo barozi ni nyingi mno.

Kwa hio ndio maana anaendelea kuchokonoa huku na kule, anaweza tumia gharama kubwa sana ili mradi aendelee kuongelewa anajua zitaludi mara nne.

Wengi mnakumbuka Dr. Shika ambae ni marehemu kwa sasa
Mr. likuid na wengine wengi tu kiufupi hapa mjini ukiwa hits we dili ni nyingi but kuendelea kua hits inatakiwa ujitoe akili.

Sasa sisi wakina yaheee ndio tunazani hivi vitu viko siriazi sana, kumbe ni changaaa, ila kulana wana kulana na ndoa inafungwa.

Yaani ni mchezo wa kuigiza na kweli pia, kwa hio manara akiona hatajwi atakurupua jambo lolote tu ili mradi atajwe.

Labda niseme jambo kwa mpambanaji yoyote unaehitaji pesa za ubwete hapa mjini jitoe fahamu tu, kwenye vitu vya kipuudhi ndio Kuna pesa.

1706353641955.jpg
 
Halafu mbona sijaona viongozi wa Yanga hawajamsapoti kwenye kwenye hii, hata picha moja ya kiongozi au mwakilishi kutoka Yanga sijaona mpka harusi inaisha.
 
Halafu mbona sijaona viongozi wa Yanga hawajamsapoti kwenye kwenye hii, hata picha moja ya kiongozi au mwakilishi kutoka Yanga sijaona mpka harusi inaisha
Wamejua kwamba ni usanii tu na sio ibada ya ndoa ya kawaida.
Huwezi kuoa na ukaacha kila mwaka.Ndio maana GSM na Yanga wamemfungia vioo.
 
Back
Top Bottom