50 Cent ashtakiwa kwa kumpasua sura Mtangazaji kwa Microphone

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1706249351925.png

MAREKANI: Rapa Mkongwe na Mfanyabiashara, Curtis Jackson a.k.a 50 Cent ameshtakiwa na Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Power 106, Bryhana Monegain, anayedai jeraha alilopata baada ya kupigwa na Kipaza Sauti limeathiri mwonekano wake.

Ingawa tukio hilo linalodaiwa kutoka kwa bahati mbaya Agosti 2023, lilielezwa kusababishwa na kifaa hicho kumsumbua 50 Cent akiwa Stejini na hivyo kupata hasira na kuirusha pembeni ambapo kiliishia kumpiga Mtangazaji huyo usoni.

Bryhana amedai anaendelea kuteseka kwa Msongo wa Mawazo juu ya tukio hilo na hivyo anataka kulipwa fidia za Mshahara aliopoteza wakati akiuguza jeraha, pamoja na gharama za matibabu na uharibifu mwingine.

==============

50 Cent is being sued for causing "severe injuries" to a woman after he threw a microphone into the crowd.

According to legal documents obtained by The Blast, concert-goer Bryhana Monegain claims she was hit in the face and wrist by the equipment.

A video had previously surfaced of the incident that happened in September, showing the rapper tossing the mic in the crowd after becoming frustrated with the sound system. At the time, he was investigated for battery but the DAs office did not pursue the matter.

Now Bryhana has filed a lawsuit against the Get Rich or Die Tryin' singer.

“Immediately after the incident, she was transported by ambulance to the Los Angeles General Medical Centre emergency department for treatment of injuries, including but not limited to, a concussion, laceration over her forehead, and pain in her left wrist," reads the statement. "She complained of dizziness, headaches, light and sound sensitivity, and nausea."

It goes on to state that she “continues to suffer from severe injuries and emotional distress.”

50 Cent has not yet responded to the claims.
 
Back
Top Bottom