Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Mshambuliaji hatari wa timu ya soka ya Yanga, Mrisho Ngassa amepatia “jiko”. Amemuoa Latifah Abdulhaman. Ndoa ilifungiwa huko Tabata Kisiwani. Hivi karibuni Ngassa alikuwa nchini Uingereza...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
I have this Feeling, Wakati mwingine wakati unahisi mtu akimtetea ROstam au kina Lowassa au Mkuu wa nchi basi huyo yupo kwenye Payroll ya mafisadi. Kwa ushaihidi ule ule mie nahisi watu hawa...
0 Reactions
108 Replies
15K Views
Pooch crowned oldest doggy Play video The world's oldest dog has reached 147 in dog years and earned a Guinness certificate, with a big bash and a cake. Chanel, a dachshund from New York, was...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ufisadi wanyemelea misaada ya waathirika wa milipuko ya mabomu DarNa Jackson Odoyo Maafa yaliyosababishwa na milipuko ya mabomu iliyotokea kwenye kambi ya Jeshi la Wananchi (JWTZ), kambi ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi nchi ingekuwa na sheria, hawa mapapa mafisadi wangekuwa na kiburi walichokuwa nacho!? Sitta bora ukae kimya tu na kuwaacha wenye uchungu wa Tanzania kupambana na hawa mafisadi bila woga...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Ndugu wana JF -- kuna tetesi kwamba Salva Rweyemamu,Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu huenda akahamishwa na kupewa kazi nyingine. Hivi sasa Salva kaenda likizo ya muda usiojulikana, na kwamba...
0 Reactions
40 Replies
9K Views
Jamani nyie acheni tu;hii nchi...mmh sijui..mpaka sasaa takwimu zinaonyesha maalbino 50 wamekufa ndani ya miaka miwili na hawa ni wale waliojulikana lakini mpaka sasa sijaona wala kusikia mtu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mzee Makassy - 'Mungu Kaniita Nimtumikie nifike Kwake Mbinguni' Kwa wale Vijana ambao walikuwa wamechipukia katika miaka 1963 watakuwa wanamkumbuka vizuri zaidi Kitenzogu Makassy, na Bendi...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Mwanafunzi bora adai siri ya mafanikio yake ni kumwomba MunguNa Joyce Mmasi MWANAFUNZI aliyeongoza kwa kufanya vizuri katika mitihani ya kidato cha sita mwaka huu na kuwazidi wenzake 51,563...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Winga machachali wa club ya Dar Young African almaaruufu kama Yanga Mrisho Ngassa ameamua kusogeza jiko. Ngasa amemwoa Latifa shamla shamla za mnuso huo zilifanyika Dar es salaam maeneo ya Tabata...
0 Reactions
22 Replies
7K Views
Angelikuwa mlalahoi hapo hata vibao vya polisi angevipata na kujikuta mahakamani siku hiyo hiyo. Warioba’s daughter in public altercation with the police THISDAY REPORTER Dar es Salaam...
0 Reactions
66 Replies
17K Views
Tulisikia kiasi gani Makamba alivyokuwa akimwinda Mengi ,hatima ya mawindo hayo!!! ndoto yawa kweli.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
KAZI KWELI KWELI Mtikila Adai Kakobe ni Nabii wa Uongo, Amtaka Akae Kimya Mchungaji Mtikila Saturday, April 18, 2009 4:43 AM Mchungaji Mtikila ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha DP amemtaka...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
who is mansnapper! Check the link! Click on blue color where is written YouTube - Rootsriders - new album. YouTube - Rootsriders - Songs Of New Album Live At Effenaar
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Waandishi wa habari 13 wa vyombo mbalimbali, wametangaza kumpeleka mahakamani Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Reginald Mengi, huku wakidai anahujumu vyombo vya habari vichanga visijiendeshe...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
JAMANI HAWA AWANAOBAKA WAMSHINDWA HATA NAULI YA KUWAFIKISHA JOLI AMA CORNER BAR Afisa Mtendaji aliyebaka mwanafunzi afikishwa kizimbani Saturday, April 18, 2009 10:02 AM AFISA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Justin Timberlake wants the world to know how committed he is to bringing awareness about the water crisis we’re in. In fact, he wants to shout it from the mountaintops! And he’ll be doing...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
PUBLIC NOTICE APPOINTMENT OF THE TCRA DIRECTOR GENERAL In accordance with the provisions of Section 13 (1) of the Tanzania Communications Regulatory Authority Act No.12 of 2003, the...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Mutabiri maarufu sheikh yahaya Hussein aliyekuwa amezushiwa kifo amewasili leo asubuhi saa tatu na ndege la shirika la Ndebe la kenya (kenya airway)akitokea nchini india kwa matibabu Sheikh...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
  • Closed
Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Reginald Mengi amedhihirisha kuwa ni kigeugeu kuhusu Baraza la Habari la Kislamu(BAHAKITA). Katika kipindi cha mwaka jana, Mwenyekiti huyo amekuwa akilalamikia baraza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…