Mauwaji ya maalbino""hakuna aliekamatwa kweli??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,906
22,019
Jamani nyie acheni tu;hii nchi...mmh sijui..mpaka sasaa takwimu zinaonyesha maalbino 50 wamekufa ndani ya miaka miwili na hawa ni wale waliojulikana lakini mpaka sasa sijaona wala kusikia mtu alieshtakiwa kwa mauaji ya albino na akahukumiwa...nkauliza labda jamani haya mambo yataisha ...??
ama hakuna akimu anaetaka kusikiliza kesi kama hizi.
MUNGU WALINDE VIUMBE VYAKO
 
Mama, shida kubwa ya vifo vya maalbino iko zaidi ya Imani za kishirikina! kuna nguvu kubwa ya pesa humo ndani, na hizo pesa you can guess zinatoka wapi? ndo maana hata hao mahakimu wana zikimbia!
Kwa sababu wana jua mmoja tu akihojiwa kisawa sawa, Chain itaenda vizuri hadi kuwafikia hao wasio guswa, Ofcourse ni raisi, Yule aliye kamatwa anaua anaulizwa uliagizwa na nani? ama nani mteja wako.. hadi atapatikana muasisi wa mauaji haya, ila mhhhh..ndio wagizaji wakuu wa viuongo hivyo hao the almighty wa Tanzania!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom