Prof. John Nkoma kuendelea TCRA

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
PUBLIC NOTICE

APPOINTMENT OF THE TCRA DIRECTOR GENERAL

In accordance with the provisions of Section 13 (1) of the Tanzania
Communications Regulatory Authority Act No.12 of 2003, the Minister of
Communications, Science and Technology, after submission by the Nominations Committee, and a competitive selection procedure as per Section 13 (6) of the TCRA Act, has appointed Prof. John S. Nkoma as the Director General of TCRA with effect from 1st July 2009. He is the current Director General and will be serving a second term of 5 years with this appointment.


APPOINTMENTS OF MEMBERS OF THE TCRA BOARD



In accordance with the provisions of Clause 2.-(2) of the First Schedule to
the Tanzania Communications Regulatory Authority Act No. 12 of 2003, the
Minister of Communications, Science and Technology, after submission by the
Nominations Committee, and a competitive selection procedure as per Section
13 (6) of the TCRA Act, has appointed the following as members of the TCRA
Board:



Eng. Baruany E.A. Luhanga

Dr Vuai Iddi Lila

Dr. Justinian Anatory



With these appointments, and in accordance with the provisions of Section 7
(1) of the Tanzania Communications Regulatory Authority Act No.12 of 2003,
the seven members of the TCRA Board are as follows, where the Chairman and Vice Chairman were appointed by the President in accordance with Section 7 (2) of the TCRA Act No.12 of 2003:



Hon. Judge Buxton Chipeta (Rtd) Chairman

Dr. Suleiman J. Omar Vice Chairman

Mr. Baruany E.A.T Luhanga Member

Hon. Peter J. Serukamba (MP) Member

Dr. Vuai Iddi Lila Member

Dr. Justinian Anatory Member

Prof. John S. Nkoma Member and DG


Issued by

Public Relations Manager

Office of the Director General

Tanzania Communications Regulatory Authority


TCRA|Tanzania Communications Regulatory Authority
 
Asante Halisi.. nilifikiria wamesema wabunge wasiwe memba kwenye bodi za mashirika. Kuna mtu anakumbuka agizo hilo au linasubiri uchaguzi ujao!?
 
Mkuu Halisi,

Asante kwa taarifa hii. Hii TCRA ni katika institutions za nchi yetu ambazo zimejaa urasimu wa kutupwa.

Yaani hapo kuna wababaishaji sijawahi kuona.

Huyo Prof. Nkoma mwenyewe ni mpole sana na hajui kabisa utendaji wa wakuu wake wa idara mbalimbali. Anaamini kila wanachomwambia bila kufuatilia.

Nimewahi ku deal na hii TCRA yaani unabaki kucheka tu, kama nchi na institution muhimu kama hiyo inaendeshwa na wababaishaji kiasi hicho, vipi huko kwingine?

Kwa mfano hapo kwao kuna maombi mbalimbali ya wananchi ambayo yamekwamishwa kwasababu tu eti uamuzi unahitaji board ikae na toka walivyokaa mwezi wana nane au tisa mwanzoni hawajakaa tena mpaka leo.

Kama wameshindwa watupatie wengine hizo kazi tuwaonyeshe kazi zinavyotakiwa kufanywa.

Hongera prof. Nkoma, ila angalia performance ya idara yako iko chini mno. Kazi zao kujifanya wanajua kazi na hawataki kufundishwa, huku ukiwaangalia ni wababaishaji tu. Aibu kweli hii nchi Tanzania. Kila sehemu ubabaishaji tu, watu walienda shule kusoma nini kama hawawezi hata kugundua kwamba hapa kuna tatizo na tunahitaji kubadilika?

Mungu isaidie Tanzania!
 
Asante Halisi.. nilifikiria wamesema wabunge wasiwe memba kwenye bodi za mashirika. Kuna mtu anakumbuka agizo hilo au linasubiri uchaguzi ujao!?

Mwanakijiji,

Hilo lilikuwa agizo au pendekezo. Sidhani kama sheria imepitishwa iwe hivyo. Litakuwa jambo la maana wasiingie kwenye mashirika ambako wengi wao kazi zao kubwa ni kwenda kupokea posho tu. Hawana habari kabisa na utendaji wa mashirika hayo.
 
Nafikiri hilo la wabunge kutokuwa wajumbe wa board ya mashirika ya umma lilikuwa pendekezo tu lakini lilipata upinzani mkali toka kwa wabunge wengi.

Ni vyema pia wabunge wakawemo humo ndani ili kujionea utendaji wa mashirika hayo first hand na pengine kusaidia katika kuboresha hili na lile katika mipango na sera mbali mbali za serikali.

Maoni yangu tu.
 
Kinyamana...wenzako wanaposema wasiwepo washaaona kuwa kuwepo kwao HAKUNA TIJA....bali kuendeleza Uzembe uliokuwepo....

Samahani hao waliokuwepo wanasifa zinazoendana na mambo ya TCRA? isije kuwa wanasiasa wamejaza nafasi za Kitaalamu. ktk Board ambayo inahitaji wataalamu wake wawe watu waliobobea au wenye kujua mambo ya Mawasiliano ni Hii...Unaweza kuwauliza IP ina "Rangi" gani wakashindwa Kujua....
 
Hon. Peter J. Serukamba (MP) Member - Ndiyo Tanzania hiyo, unaweza ukapanda pumba, ukavuna mchele. Hivi sasa tunapoelekea 2010 tutavuna mengi ambayo hatukuyapanda.
 
Heshima mbele wakuu.... Morani is whispering, another 5 years..... APPOINTED!!

well, lets see how it goes!!!

Ashe naleng'
 
Hongera sana Prof. Nkoma. Jamaa ni direct na straght forward, hana uswahili. Naamini by the middle of this year, we'll have digital tv signal kwenye mobile operators. World Cup ya next year, unawatch popote.

Hongereni the entire team of TCRA, 'keep on the good job of bridging the gap on the digital devide'
 
Mbona hujaeleza chanzo cha news zako? Swali la pili je hawa jamaa wa TCRA wanapeleka hela wanayopata hazina?
 
Kwa maoni yako mkuu Kinyamana nina kila sababu ya kukushuku kuwa wewe ni mmoja wa wabunge waliopo hapa janvini!! Wabunge kwa majukumu yao ya kamati, ni wathibiti wa mashirika yetu ya umma , kwahiyo kama wao ni wathibiti hawawezi tena kushiriki katika maamuzi ya bodi wakiwa kama wajumbe; hiyo inaleta kitu kiitwacho conflict of interest!!Hata hivyo uteuzi mwingine wa hawa wabunge unatia kichefuchefu kwamfano huyu Serukamba kunteua bodi ya TCRA haiendani na CV yake kwahiyo huyo waziri aliyemteua naye pia anaonesha wazi wazi caliber yake ilivyo chini!!
 
Back
Top Bottom