Mtoto wa Warioba mbaroni Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa Warioba mbaroni Dar

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mtanzania, Apr 3, 2009.

 1. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #1
  Apr 3, 2009
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Angelikuwa mlalahoi hapo hata vibao vya polisi angevipata na kujikuta mahakamani siku hiyo hiyo.

  Warioba’s daughter in public altercation with the police

  THISDAY REPORTER
  Dar es Salaam

  POLICE in Dar es Salaam yesterday detained Ms June Warioba, daughter of former prime minister Joseph Sinde Warioba, and deflated all the tires on her saloon vehicle to persuade her to comply with an order to have her car inspected for any irregularities.

  Although Ms Warioba was eventually released from the Oysterbay Police Station on police bail, Kinondoni Regional Police Commander Mark Karunguyeye told THISDAY that she may still face formal court charges for her conduct.

  According to police sources, the arrest in the early morning hours of yesterday, followed a skirmish between Ms Warioba and a couple of traffic police officers along Kawawa Road in Kinondoni.

  The sources said she was driving her Toyota Corolla vehicle towards Ali Hassan Mwinyi Road, a female traffic police officer identified as Cpl Nimlola ordered her to stop to allow an inspection of the car.

  However, she is said to have flagrantly disobeyed the order, and zipped away.

  Cpl Nimlola then telephoned ahead to a male colleague stationed at the junction, Cpl Samuel Emmanuel, of Ali Hassan Mwinyi and Kawawa Roads, notifying him about the runaway car. And sure enough, according to the police sources, when Ms Warioba arrived at the junction, Cpl Emmanuel was there to stop her.

  This time, she is said to have slowed to a stop. But when ordered by Cpl Emmanuel to drive her car to the Oysterbay Police Station, she attempted to zip away again.

  According to the police sources, Cpl Emmanuel then jumped onto the car’s front hood and hung right there, refusing to get off until Ms Warioba complied with the order.

  At this point, she is said to have at last opted to comply with the order, and drove all the way to the station with the traffic cop still draped over the front hood.

  But again, on arrival at the station, Ms Warioba is said to have continued with her stubbornness, refusing to get out of the car and enter the station to write a police statement and be interviewed by officers.

  According to the sources, she insisted that the only person she was willing to talk to would be the Inspector General of Police himself, Said Mwema.

  She rolled up her car windows, switched on the air-conditioner, took out a laptop computer and a cellphone, lit a cigarette, and just relaxed, police sources say.

  Four policemen are said to have then surrounded the car and deflated all the tires, in a bid to disable it and prevent her from driving off again.

  The sources say it was the Kinondoni District Crimes Officer (OC-CID), Damas Nyanda, who eventually walked up to the car, and persuaded her through the window to just give up the ’fight’ and cooperate with the police.

  It was then that she alighted and walked with Nyanda up to the station, where her statement was recorded.

  She was eventually released on police bail, but RPC Karunguyeye told THISDAY in telephone interview that police are still contemplating whether to go ahead and charge her formally.

  The RPC said an investigation is underway and Ms Warioba may face three counts of charges in court: Violating road traffic regulations, refusing to comply with a bona fide police order, and using abusive language to a police officer.
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Apr 3, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Huyu ndio yule wa changombe au sio huyu mbona anaonyesha mpole sana
   
 3. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  that was cool!
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Haya tuone Warioba atafanya nini, atamtetea mhalifu au ataacha sheria ifate mkondo.

  Waandishi wa habari, hii ndio habari ya kufichuwa ufisadi, kwani huu ni ufisadi wa wanene na vipi hata watoto zao wanavyojiona kuwa wakoo juu ya sheria. Akiachiliwa bila ya sheria kufata mkondo basi itakuwa ni rushwa, ama ya pesa ama ya influence.

  Afanye mwanagu hayo, saa hizi manundu mwili mzima na pengine kisha pigwa hata risasi.
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,552
  Likes Received: 18,233
  Trophy Points: 280
  Japo sitetei matumizi ya lugha chafu dhidi ya yoyote, sio polisi tuu, Namfahamu June, ni independent wala hana yale majigambo ama kujisikia yeye ni mtoto wa nani.

  Ila jamani kuna wakati polisi nao wanazidi, hawana dogo. Kwa vile polisi wa Dar nawajua, ukijilegeza, wanakulalia, dawa ni kukomaa nao.
   
 6. Oloronyo

  Oloronyo Member

  #6
  Apr 3, 2009
  Joined: Mar 29, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Binti wa waziri mkuu wa zamani,Jaji Joseph Sinde Warioba,ametiwa mbaroni na jeshi la polisi nchini kwa tuhuma kadhaa za kukiuka sheria za barabarani na huenda akafikishwa mahakamani wakati wowote,KULIKONI limebaini.

  Kwa mujibu wa vyanzo vyetu vilivyo karibu na duru za kiusalama. Binti huyo June Warioba,licha ya kukaidi amri hizo halali inadaiwa alikwenda mbali zaidi kwa wachezea shere askari waliomkamata kwa 'kumburuza' mmoja wao akiwa amenasa juu ya boneti na hata alipofika kituo cha polisi Oysterbay aligoma kushuka ndani ya gari lake na kuwasha sigara na kuwasha Laptop,huku akijipooza kwa AC.

  Tukio hilo lilianzia katika makutano ya Barabara za Kawawa na Ally Hassan Mwinyi "Morocco" ambapo alisimamishwa na askari wa usalama barabarani akakaidi na kuendelea na safari, alipofika makutano ya barabara ya Kawawa na Old Bagamoyo "Drive Inn" Koplo Samuel Emmanuel alifanikiwa kulisimamisha gari hilo baada ya kuhojiwa binti huyo alimgomea kwenda naye kituoni na badala yake aliamua kuwasha gari na kuanza kuondoka.

  Hilo lilimkera askari na kujitolea kudandia gari kwenye Boneti na kujishika na Wiper za gari,kama sinema Binti yule aliondoa gari lake na kulekea Old Bagamoyo Road kupitia Ubalozi wa Marekani na kwenda naye askari huyo juu ya Boneti la gari hadi kituo cha Oysterbay ambapo alivuta hisia za askari wenzake kutaka kujua kulikoni gari hilo kuwa na askari (trafiki) juu ya Boneti... aliliegesha gari hilo na kugoma kushuka ndani ya gari lake na kuwasha sigara na kuwasha Laptop,huku akijipooza kwa AC.

  Polisi hao waliamua kulitoa upepo gari hiloili kumzuia asiondoke hadi alipofika Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Oysterbay Damas Nyanda ambaye alimtambua kuwa ni mtoto wa Jaji Warioba na siku za nyuma alishawahi kufikishwa kituoni hapo kabla kwa suala jingine la madai. Baada ya kumsihi sana baadaye June alikubali kushuka na kwenda kuandikisha maelezo na baadaye aliachiwa kwa dhamana. Kamanda wa kanda maalum ya Polisi mkoa wa Kinondoni alidhibitisha kutokea kwa tukio hilo na kuliambia KULIKONI kuwa Binti huyo atafikishwa mahakamani kwa makosa matatu endapo uchunguzi unaondelea utabaini ushahidi wa kutosha.

  Source: KULIKONI
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Apr 3, 2009
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mods, hii ipo tayari, kulee ''watoto wa wakubwa nao'' kwa hiyo ifuteni kwani ile imeshatangulia.
   
 8. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #8
  Apr 3, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,753
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Labda unamaanisha ipelekwe kule... yaani iunganishwe... ??? Au???
   
 9. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #9
  Apr 3, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Tread iunganishwa na kichwa cha habari kibakie kuwa hii "Mtoto wa Jaji Warioba mbaroni Dar" ili kuvuta hamasa!!! Yaani habari ijiuze!!!!
   
 10. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2009
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mkuu Maane,

  Unataka kutuuzia habari JF? Kwi kwi kwi!!!
   
 11. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #11
  Apr 3, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  .... eti polisi akarukia gari kwa mbele kwenye boneti ili kuzuia dereva asiendeshe..!!

  .... je, kama huyu 'mtuhumiwa' angelikuwa under influence ya madawa - kwa kujitakia au kuwa amechomwa sindano makusudi au kutegeshewa na adui yake... halafu pale polisi aliporukia gari huyo dereva akaamua kuendesha bila kujali na kusababisha mauti?!

  .... hivi ndivyo walivyofundishwa hawa askari wetu? Mbona inasikitisha.
   
 12. Killuminati

  Killuminati JF-Expert Member

  #12
  Apr 3, 2009
  Joined: Apr 24, 2007
  Messages: 321
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Nimecheka sina mbavu. Nahisi labda ana past experience ya unyanyasaji wa polisi wa usalama barabarani, this is just a one sided story or news!! Huyo polisi aliyeburutwa nadhani atakuwa ametia akili. Godamn it.
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  Apr 3, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,457
  Likes Received: 81,708
  Trophy Points: 280
  Warioba’s daughter in public altercation with the police

  THISDAY REPORTER

  Dar es Salaam

  POLICE in Dar es Salaam yesterday detained Ms June Warioba, daughter of former prime minister Joseph Sinde Warioba, and deflated all the tires on her saloon vehicle to persuade her to comply with an order to have her car inspected for any irregularities.

  Although Ms Warioba was eventually released from the Oysterbay Police Station on police bail, Kinondoni Regional Police Commander Mark Karunguyeye told THISDAY that she may still face formal court charges for her conduct.

  According to police sources, the arrest in the early morning hours of yesterday, followed a skirmish between Ms Warioba and a couple of traffic police officers along Kawawa Road in Kinondoni.

  The sources said she was driving her Toyota Corolla vehicle towards Ali Hassan Mwinyi Road, a female traffic police officer identified as Cpl Nimlola ordered her to stop to allow an inspection of the car.

  However, she is said to have flagrantly disobeyed the order, and zipped away.

  Cpl Nimlola then telephoned ahead to a male colleague stationed at the junction, Cpl Samuel Emmanuel, of Ali Hassan Mwinyi and Kawawa Roads, notifying him about the runaway car. And sure enough, according to the police sources, when Ms Warioba arrived at the junction, Cpl Emmanuel was there to stop her.

  This time, she is said to have slowed to a stop. But when ordered by Cpl Emmanuel to drive her car to the Oysterbay Police Station, she attempted to zip away again.

  According to the police sources, Cpl Emmanuel then jumped onto the car’s front hood and hung right there, refusing to get off until Ms Warioba complied with the order.

  At this point, she is said to have at last opted to comply with the order, and drove all the way to the station with the traffic cop still draped over the front hood.

  But again, on arrival at the station, Ms Warioba is said to have continued with her stubbornness, refusing to get out of the car and enter the station to write a police statement and be interviewed by officers.

  According to the sources, she insisted that the only person she was willing to talk to would be the Inspector General of Police himself, Said Mwema.

  She rolled up her car windows, switched on the air-conditioner, took out a laptop computer and a cellphone, lit a cigarette, and just relaxed, police sources say.

  Four policemen are said to have then surrounded the car and deflated all the tires, in a bid to disable it and prevent her from driving off again.

  The sources say it was the Kinondoni District Crimes Officer (OC-CID), Damas Nyanda, who eventually walked up to the car, and persuaded her through the window to just give up the ’fight’ and cooperate with the police.

  It was then that she alighted and walked with Nyanda up to the station, where her statement was recorded.

  She was eventually released on police bail, but RPC Karunguyeye told THISDAY in telephone interview that police are still contemplating whether to go ahead and charge her formally.

  The RPC said an investigation is underway and Ms Warioba may face three counts of charges in court: Violating road traffic regulations, refusing to comply with a bona fide police order, and using abusive language to a police officer.
   
 14. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #14
  Apr 3, 2009
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,650
  Likes Received: 21,865
  Trophy Points: 280
  Dar es Salaam leo umenena mkuu yanayopaswa kusemwa, umepatwa na nini? aah! au kwa vile huyu ni mtoto wa Warioba ambaye yuko kundi la wapinga ufisadi?
  Mkuu basi tengeneza tabia hiyohiyo ya kuuona ukweli pande zote
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  Apr 3, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,175
  Trophy Points: 280
  Tanzania is increasingly turning into a police state.

  Not to advocate anti-police behavior, but as a civil libertarian myself I can understand her position given the god like powers the police have over citizens.

  What was the reason that warranted the inspection? Or the police has a right to stop and inspect any car for any reason, or no reason? If that is the case, is civil disobedience warranted?

  Mimi nilifikiri June kampiga mtu, au kafanya kitu cha kuaibisha.Katika hii non story huyu dada ana challenge a police state inayo harass wananchi unnecessarily.

  Waandishi wa habari wameshindwa kui cover hii habari vizuri, sheria za barabara zinasemaje? Traffic police ana haki gani na dereva ana haki gani? Kwa nini June hakutaka hii inspection? Je ilikuwa ni jeuri tu au alikuwa na valid arguments?
   
 16. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #16
  Apr 3, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Asante Dar es salaam kwa kuona huu ndio ufisadi mkubwa, ila sio kina RA.
   
 17. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #17
  Apr 3, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Pasco,
  Police wana lao moja tu wanapomkamata mtu ambaye wanahisi kafanya kosa, ni 'twende kituoni basi'. Ukienda kituoni utaulizwa na kuambiwa kosa lako. Hapo utajitetea kwa kukubali au kukanusha. Ukifanya hivyo, kinachofuata ni kupewa dhamana kama unastahili dhamana hiyo. Kwa upande wa pili, Police wana haki kisheria kumfamnya mtuhumiwa a-comply' hapa ni matumizi ya nguvu. Ukikomaa kama Bw. Pasco ulivyosema jiandae kukutana na mkono wa chuma na hatimaye kufunguliwa mashitaka na huenda ukafunguliwa mashtaka huku ukiwa na nundu na majeraha uliyopata kutoka kwa police baada ya kukaidi amri.

  Huyu Binti, umesema unamjua kwamba ni mpole, kama mwandishi wa habari hii, ameandika ukweli, basi dada yetu kafanya kosa tena anastahili kufunguliwa charge, pia nachelea kusema binti huyu ana kiburi kisichoelezeka. Labda ni kwa vile alisimamishwa na mwanamke mwenzake au vipi tuseme. Nashauri unapoamriwa na mamlaka (police) ya dola wewe tii kwani ndio utaratibu then wakuambie kosa lako, kwani mara ngapi tunasimamishwa barabarani kwa ajili ya kutoa ufafanuzi wa jambo fulani na ukimaliza wanakuachia unaenda zako. Pole dada yetu kiburi kimekuponza.
   
 18. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #18
  Apr 3, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Huyo ameangalia alama za nyakati amejifunza jinsi polisi walivyokuwa wanafanya vitu vya ajabu dhidi ya raia nchi za karibuni

  --- kule arusha wale vijana 2

  --- kule kimara yule dereva wa taxi

  na mengine mengi mtu lazima uwe makini jamani
   
 19. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #19
  Apr 3, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hakuna kesi hapo.
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Apr 3, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Ooooh puliiiiiz...is this even news? Who cares about these have-beens anyway....good grief!!!
   
Loading...