kili music | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kili music

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Abbasy, Mar 27, 2011.

 1. Abbasy

  Abbasy Senior Member

  #1
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  twenty percent anatisha tano kwa mpigo ila ni halali kwa nyimbo anazoimba ukiachalia mbali wabana pua mapenzi mda wote,kuuza sura na kulamba lips
   
 2. Mosskiss

  Mosskiss JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 231
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ndo maana yake,, sijui sharo baro chali tupa kule watu tunataka vionjo vya nyumbani allllah!!!! 20% mia.
   
 3. l

  lasix JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 13, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  jamaa ametisha mwanzo mwisho,namkubali sana tu
   
 4. markach

  markach Senior Member

  #4
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamaa noma. Amedhiirisha ya kwamba ukifanya kazi nzuri itaonekana tu hata watu wabane kiasi gani
   
 5. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  halali yake kabisa aisee! sema kill wamechemsha sana kwenye Shangazi yake Mpoki ..ule upuuzi aloimba unaweza kuulinganisha na tungo za Mpoto kweli?
  :tongue:
   
 6. only83

  only83 JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  Sio Kill ni watanzania hao....hii ni kuonyesha namna ambavyo watanzania hatupo makini na mambo ya msingi yanayo-determine maisha yetu......
   
Loading...