Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
bas mie nilifkiri ni mtu wa kutoka maeneo ya Iringa
No wonder....
No wonder....
sijawahi kusikia nyambibo au wambura kuwa mtu wa iringa....bas mie nilifkiri ni mtu wa kutoka maeneo ya Iringa
No wonder....
bas mie nilifkiri ni mtu wa kutoka maeneo ya Iringa
No wonder....
Mie namzimia hata yeye mwenyewe kama Gardna asingemuwahi ningetupa ndoana ili niishi naye kwa amani kabisa! She is a great thinker
mi nilidhani ana undugu na Dr. Dau
bas mie nilifkiri ni mtu wa kutoka maeneo ya Iringa
No wonder....
Duh! Sijui kama alipona kale kazoezi wanakofanyiwa mabinti wa Musoma. Kama hakupona namuonea huruma Gadna......... wimbo utakosa tune ya kifaa fulani.
bas mie nilifkiri ni mtu wa kutoka maeneo ya Iringa
No wonder....
Mkuu tungepambana na mimi, niliwahi kumwambia usingekuwa mke wa Gadna ungekuwa mke wangu akafurahi sana. Huyu demu si mzuri wa sura wala umbo lakini na huruma, upendo, mcheshi na anajali sana kitu kinachomfanya kuwa ni mke mwema.
Kweli mkuu mi mwenyewe nawafagilia sana ingawa wife ni mchagga. Ila kinachoboa ni jinsi wanaume wa kikyuria (hususani wale wa vijijini) wanavyopiga wake zao.... very bad.you wonder what, Wakurya are very tender, loving and very submissive wives kwa taarifa yako. Ask Gardner he will tell you the same. i was let to discover this, ningejua mapema ningeoa Mkurya.
you wonder what, Wakurya are very tender, loving and very submissive wives kwa taarifa yako. Ask Gardner he will tell you the same. i was let to discover this, ningejua mapema ningeoa Mkurya.