Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

On JF:

Sekedia ni mpiga kinanda wa siku nyingi wa bendi ya akudo impakti,victor mkambi ni mpiga kinanda wa siku nyingi wa twanga pepeta...kwa pamoja ni wapiga vinanda hodari sana nchini,je wewe unadhani...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
My girl TK kapata mtoto wa kike aitwaye MALAIKA.
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Jamani naomba contacts za watu wa power breakfast hasa Bonge kuna jambo muhimu la kujenga nchi nataka liruke hewani maana siku hizi kazi haziendi bila uozo kurushwa hewani , na najua mtindo...
0 Reactions
15 Replies
10K Views
1.Chinua Achebe,Nigerian novelist 2.Youssou N'dour,Senegal musician 3.Didier Drogba,Ivorian footballer 4.Angelique Kidjo,Benin musician 5.Akon,Senegalese musian 6.Wole Soyinka,Nigerian...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
ILIKUWA LEO ASUBUHI MUDA WA SAA NNE HIVI KWENYE KIPINDI CHAO CHA SUPER MIX. MARA WAKAWEKA BONGO FLAVA YA MSANII ALIYEIMBA MUHOGO WAKO MTAMU NA ANDAZI WEEE KWA HAMIRA. WIMBO ULIPOISHA WAKAANZA...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
amesha tengeneza nyimbo nyingi na wimbo mmoja ameshatoa video yake ya kwanza yenye mashairi tunajua kupendana hatujui kuachana na hata kinyonga ana wakwake.anasema aliyemvutia kuingia kwenye game...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ripota Netchi Lyimo mjukuu wa Mchungaji jamaa alikuwa mbali sana kwenye fani yake sijui nini kimemrudisha nyuma hivi. Namwona hapa Moshi aka mji wa wagumu anavyopigika na maisha.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Aijalishi utafukuzwa ama umestaafu zi mbaya kuendeleza kipaji chako ukiwa uzeeni mh kibonde nimesikia sauti na unavyoimba taarabu leo kwa kweli una kipaji cha taarabu si mbaya ukimaliza kazi kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, imemkamata mfanyabiashara Jack Pemba kutokana na madai ya kujipatia pesa kwa udanganyifu. Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa Jack anashikiliwa...
0 Reactions
37 Replies
17K Views
Kupitia kwenye kipindi cha Amplifier cha Clouds FM cha leo, Nakaaya Sumari amesema ameachana na siasa kabisa na anaamini ulikuwa ni uamuzi wa pupa kwa yeye kujiingiza kwenye siasa. Anasema...
1 Reactions
58 Replies
7K Views
Yule msanii wa filamu nchini mwenye sifa ya kuanza mapenzi kwenye umri mdogo ametangaza rasmi kusafiri kwenda majuu kumfuata Justin Bieber. Lulu ametangaza nia yake hiyo leo wakati akihojiwa...
1 Reactions
86 Replies
11K Views
Mnamkumbuka huyu dada!! c alidai kaokoka vp mbona karudi kivingine? au muda wa ulokole umeisha?
0 Reactions
53 Replies
8K Views
​Mkali katika Tasnia ya Filamu Tanzania (Bongo Movie) Lulu Michael a.k.a hot Lulu amevunja ukimya na kutoa yake ya moyoni kuhusu Justin Beiber Katika interview na zamaradi mketema Lulu...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Akina Babu Kulikombe, wamepotelea wapi? Wanaofahamu watujuze jamani.
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Napenda kujua nani alimkabidhi Bendera Miss Tanzania 2011 ili kwenda nayo London kwenye Miss World? ama mwaka huu haiwakilishi Tanzania bali anaiwakilisha Lino Agency???
0 Reactions
4 Replies
4K Views
nimemuona kwenye tv kawa mweupe kama zeruzeru!jee ni ofisi imempendezesha au kiyoyozi cha landcruiser v8?
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Wiki iliyopita Tulikuwa tumempoteza Eng Mosha, Nilipokuwa msibani niliona watu wengi wanaopenda umaarufu wakija msibani usiku baada ya mida ya kazi. Former miss T run up N. Mohd alifika na bahati...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Mzee Kipara hii ndio hali aliyofikia hivi sasa. Mzee kipara ni msanii wa muda mrefu ambaye alikuwa katika sanaa ya maigizo kwa muda mrefu, kipindi cha hivi karibuni vyombo mbali mbali vya habari...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Miss Tz 2011 Salha, ameasili (Adopt) mtoto mchanga aliyeokotwa na anatunzwa na katika hospitali ya Muhimbili. amempa jina lake la Salha. Ni jambo jema anastahili kupongezwa
1 Reactions
20 Replies
3K Views
hellooow!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…