Almaarufu Netchi Lyimo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Almaarufu Netchi Lyimo

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Lengeri, Oct 20, 2011.

 1. Lengeri

  Lengeri Senior Member

  #1
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 3, 2009
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ripota Netchi Lyimo mjukuu wa Mchungaji jamaa alikuwa mbali sana kwenye fani yake sijui nini kimemrudisha nyuma hivi.

  Namwona hapa Moshi aka mji wa wagumu anavyopigika na maisha.
   
 2. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  ina maana siku hizi siyo mwandishi wa habari tena? anapigikaje wakati mke wake anafanya kazi Sauti ya Injili
   
 3. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mi nimeshindwa kumjua Lengeri anamzungumzia nani.
   
 4. Lengeri

  Lengeri Senior Member

  #4
  Oct 21, 2011
  Joined: Jul 3, 2009
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwa kipaji alichonacho na uzoefu wake alistahili kuendelea kuwepo katika international level na si kukaa pale Bamboo bar akiokoteza vihabari uchwara vya Mambo Mseto.....
   
 5. Lengeri

  Lengeri Senior Member

  #5
  Oct 21, 2011
  Joined: Jul 3, 2009
  Messages: 180
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wewe Mtoto wa juzi subiri sredi za kina Kibonde na Hando
   
 6. v

  valid statement JF-Expert Member

  #6
  Oct 22, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  mke wa netch anafanya kazi saut ya injili kweli? Sio pale chuo cha ushirika?
   
 7. movingtarget

  movingtarget Member

  #7
  Oct 22, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  moshi si mji wa kukufanya uwe na strategic planning...kitimoto, kibia na nyama choma siku imekwenda! vikao vyao watu wale wale tu mambo ya maniyuuuu na asenoooo. mji hauna changamoto
   
 8. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  udaku huuu! ongea point
   
Loading...