Maceleb wa Kibongo kuuza sura Misiba ya wakubwa

Sep 29, 2011
92
18
Wiki iliyopita Tulikuwa tumempoteza Eng Mosha, Nilipokuwa msibani niliona watu wengi wanaopenda umaarufu wakija msibani usiku baada ya mida ya kazi. Former miss T run up N. Mohd alifika na bahati nzuri nilipokaa nilikuwa na watoto wa marehemu wa kiume na wa kike cha ajabu mlimbwende huyu aliingia bila kusalimia wafiwa ikiwa na maana hajuani nao kwa karibu na kwenda kujiweka kwa wakina mama na hakuchukua hata dk 45 akatoka akijifanya kuchat kwenye simu na kuondoka. Tulijiuliza na wadau wengine pale kwamba hata misibani watu huja kuuza sura haswa wakijua misiba hii ni ya watu prominent. Watanzania tujaribu kuacha tabia hii.
 
Hivi bongo hii kuna Celeb au waigizaji tu? Kwanza acheni kumpa sifa akiona 2namwongelea atavimba bichwa. Celeb Celeb Celeb, bongo? Cdhani!
 
Wivu wa kijinga, In this life don't discuss people just deal with the issues and mind your own business
 
acheni kumsema mdada wa watu,penye mkusanyiko wa watu ndipo mahali pazuri pa kutafuta
 
Mosha ndio founder wa Akiba Commercial Bank, Interconsult, ana miliki mashamba makubwa ya mkonge kule Tanga. He was not a celebrity rather influential enterprenuer.
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom