Jamani mnijuze wale waigizaji maarufu wa FUTUHI wamepotelea wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani mnijuze wale waigizaji maarufu wa FUTUHI wamepotelea wapi?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Dumelambegu, Oct 19, 2011.

 1. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Akina Babu Kulikombe, wamepotelea wapi? Wanaofahamu watujuze jamani.
   
 2. b

  batecom New Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  walimdolewa kimizengwe, ukienda mza utawakuta, wengine wanapiga kitabu
   
 3. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kumbe!!!
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Jamaa alikuwaga na mbwembwe na pozi zake za kilyamba lya mfipa
   
 5. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Dialo aliwapiga ban baada ya kwenda kufanya tamasha tabora bila ruhusa.
  Babumkombe yeye anaendelea na ufundi wake wa masofa hapa mwanza.
  Chiko-yeye anapiga shughuli za u mc katika maharusi na sherehe mbalimbali.
  Kafuku kaulananga,yeye ameajiriwa barmedaz na anatangaza kipindi cha taarabu.ova
   
 6. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Matajiri wa kiswahili kwa roho mbaya mishahara yenyewe laki mtu anataka kuongeza kipato unamtosa,ilihali kipato hicho anachopewa hakilingani na kazi anayoifanya
   
 7. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  mzee nambie babu mkombe yupo maeneo yepi nimtafute? nyakato, ghana au wapi?
   
 8. baghozed

  baghozed JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 515
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  DAH UMENIKUMBUSHA COZ BABU MKOMBE YUKO JUU SANA,ANAJUA KUIGIZA, wenzie nadhani hawakuwa wabunifu zaidi ya kuigana tu na OK
   
 9. Beso

  Beso JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 216
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  BABU MKOMBE,DR CHIKO,KAFUKU!majembe ya ukweli warejesheni bana,mmejaza wazugaji tu hapo futuhi, viwango duni!!!
   
 10. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Kuna yule anayeuza sura tiGO Promotion...
   
 11. o

  oldonyo JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2011
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 554
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  anapatikana maeneo ya kirumba mwembe sangara.ila una hela ya kumpiga ofa?maana jamaa ana mizinga uyo unaweza kimbia.
   
 12. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  ijumaa saa 3 usiku tazam chanel ten utaona wanakuja kivingine huko........
   
 13. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,672
  Likes Received: 941
  Trophy Points: 280
  Nilishajiulizaga hilo swali bora hata nimepata majibu kidogo....
   
Loading...