Mzee kipara...duh | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mzee kipara...duh

Discussion in 'Celebrities Forum' started by ngoshwe, Oct 19, 2011.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145


  [​IMG]

  Mzee Kipara hii ndio hali aliyofikia hivi sasa.
  Mzee kipara ni msanii wa muda mrefu ambaye alikuwa katika sanaa ya maigizo kwa muda mrefu, kipindi cha hivi karibuni vyombo mbali mbali vya habari vilitoa hali ya afya yake.
  Kwa sasa hali yake bado ni mbaya, napenda kuwakumbusha tena wasanii wote msimtupe mzee huyu na mnavyoendelea na vikao vyenu na BASATA pia muweze kumuongelea Mzee huyu, ili kwa pamoja na Serikali mumsaidie. Napenda kuwashukuru wale wote waliojitahidi kumsaidia kwa namna moja au nyingine ili kuweza kumfanya Mzee huyu ajisikie ana watu ambao wanamjali, Mungu atawarudishia.

  MZEE KIPARA ANAHITAJI MSAADA WAKO.


  [​IMG]Mzee Kipara Msanii Mkongwe.


  [FONT='Helvetica Neue', Arial, Helvetica, sans-serif]KAMA Waswaili wasemavyo kuwa kutoa ni moyo, basi ni wakati wa kutimiza kauli hiyo kwa Mzee wetu Fundi Said ‘Mzee Kipara katika tasnia ya filamu na maigizo hapa nchini Mzee Kipara amefanya mengi ya kukumbukwa kwani alianza kuigiza toka muda mrefu, lakini pamoja na kufanya kazi kwa muda mrefu kwa sasa Msanii huyu hawezi tena kujimudu na kuendelea na kazi zake lakini pia ni mgonjwa.[/FONT]
  [FONT='Helvetica Neue', Arial, Helvetica, sans-serif][/FONT][/SIZE][/COLOR]
  [COLOR=#0000ff][SIZE=3][FONT=Helvetica Neue][URL="http://www.filamucentral.co.tz/wp-content/uploads/2011/09/MZEE-KIPARA.jpg"][IMG]http://www.filamucentral.co.tz/wp-content/uploads/2011/09/MZEE-KIPARA.jpg[/IMG][/URL][/FONT][/SIZE][/COLOR][COLOR=#0000ff][SIZE=3][FONT=Helvetica Neue]Mzee Kipara akijiuguza katika Kitanda chake.
  [/FONT][/SIZE][/COLOR]
  [COLOR=#0000ff][SIZE=3]
  [FONT='Helvetica Neue', Arial, Helvetica, sans-serif]Kwa kuliona hilo kampuni ya Global Publisher iliweza kumpa simu ajili ya matumizi ya M-PESA ili iweze kumsaidia kwa urahisi zaidi namba ya simu ni 0753 923454, tunaishukru kampuni hiyo ambayo imefungua njia ili Mzee wetu aweze kupata msaada kwa kuchangiwa na wasamaria wema, huku nikiamini kuwa suala hili pia litawagusa wasanii ambao ni wadau wakubwa katika Sanaa.[/FONT]
  [FONT='Helvetica Neue', Arial, Helvetica, sans-serif].[/FONT][/SIZE][/COLOR]
  [COLOR=#0000ff][SIZE=3][FONT=Helvetica Neue][URL="http://www.filamucentral.co.tz/wp-content/uploads/2011/09/Mzee-Fundi-Said.jpg"][IMG]http://www.filamucentral.co.tz/wp-content/uploads/2011/09/Mzee-Fundi-Said-300x276.jpg[/IMG]
  [/URL][/FONT][/SIZE][/COLOR][COLOR=#0000ff][SIZE=3][FONT=Helvetica Neue]Mzee Kipara siku za nyuma.
  [/FONT][/SIZE][/COLOR]
  [COLOR=#0000ff][SIZE=3]
  [FONT='Helvetica Neue', Arial, Helvetica, sans-serif]Pia ni wakti ambao vyama vya Wasanii vitumie ubunifu ili kuweza kuchangisha wadau mbalimbali katika kumsaidi Mzee Kipara katika ugonjwa unaomsumbua wa Miguu na suala la umri pia Mungu Mzee Kipara anahitaji msaada wako, pia tumshukru dada ambaye anamhudumia Kalunde ni msanii mwenye moyo sana basi ni vema tukamuunga mkono katika zoezi hili la kumsaidia Msanii mwenzetu, pengine itaonekana haina maana sana kila siku tukibuni sherehe kwa ajili ya kujifurahisha huku wengine wakiwa wamelala kwa kukosa hata fedha ya panadol. Kutoa ni moyo tumsaidie MZEE KIPARA.[/FONT][/SIZE][/COLOR]
  [SIZE=3][COLOR=#0000ff][URL="http://www.filamucentral.co.tz/2011/09/mzee-kipara-anahitaji-msaada-wako/#respond"][FONT='Helvetica Neue']
  [/FONT]
  [/URL]
  Kwa hisani ya: KAPINGAZ

  n
  a

  http://www.filamucentral.co.tz/2011/09/mzee-kipara-anahitaji-msaada-wako/


   
 2. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,768
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  kazeeka lakni,kwa kazi yake alitakiwa awe na vihela,bongo ovyo
   
 3. serio

  serio JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,928
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  wasanii na NSSF MBELENI
   
 4. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Mwenyezi mungu atie nguvu mzee wa watu
   
 5. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Dah! mzee kweli amechoka. Vile vikundi ambavyo alikuwemo na wasanii wenzake wapo wapi!.
   
 6. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Inauma sana jinsi gani wasanii wetu wakongwe wanvyoishia kuishi maisha mabovu na ya kimaskini yasiyo na uhakika pamoja na kwamba kazi zao walizozifanya ambazo hadi leo tunazifurahia na kuzoenzii-mfano:Jojina-Marijani Rajab; Mbaraka Mwishehe na tungo zake zote-kafa kwa kukosa donor wa damu; Morris Nyunyusa-mdundo wa kutangulia taarifa ya habari RTD/TBS Radio..list haiishi) Hawa wajenga msingi wa asili/jadi (culture) yetu wanatoswa kama alivyoimba Marquis Band-Mauti ya Kwangu ni Bure..)! Kweli hatuna heshima kwa historia.

  Haishangazi sana kwanini hawa wakongwe wasanii wetu. Wametoswa; tumetosa yote yanayotakiwa kuhifadhiwa kujenga leo bora kulio jana na kesho bora zaidi katika kila fani na tasnia!

  Kama hatubadiliki HARAKA SANA=TWAFWA..TUNATEKETEA
   
 7. s

  shosti JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mhh kachoka jamanni...nikimkumbuka enzi zile mtaa wa Pangani Ilala na hapa namuona kama kachoka sana kwa kipindi kifupi,au ndo maradh jamani.
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hili wazo kwa wabongo pasua kichwa unaweza kufa kwa mawazo..
   
Loading...