Big up Miss TZ kwa uamuzi huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Big up Miss TZ kwa uamuzi huu

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Megawatt B, Oct 18, 2011.

 1. M

  Megawatt B JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 23, 2011
  Messages: 260
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Miss Tz 2011 Salha, ameasili (Adopt) mtoto mchanga aliyeokotwa na anatunzwa na katika hospitali ya Muhimbili. amempa jina lake la Salha. Ni jambo jema anastahili kupongezwa
  [​IMG]
   
 2. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  sos of info plzzzzz!!!
   
 3. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 160
  Ni kweli ametangaza kumuadopt mtoto kichanga ambaye mama yake alifariki na baba hajulikani (jumapili kwenye kipindi cha 'njia panda')...lakini, kweli anaweza kuwa mama wa mtoto wakati ndio yupo katika kilele cha u'celebrity' akiwa na umri mdogo hivyo? Je ana vigezo vya kumuwezesha kuadopt mtoto (umri, kipato cha uhakika, makazi, mwenza, uwepo wake nyumbani (umri na status yake inamruhusu kwenda party after party all night) etc.)...na pia huyo ni mtoto mchanga anahitaji maziwa, kwa kuwa Salha si mama yake inabidi atumie formula...cost, maandalizi yake yanahitaji usafi wa hali ya juu na sio tu kumuachia house girl ayaandae?


  nimependa huruma yake mpaka kufikiria kufanya extreme kumsaidia kichanga hicho....lakini sidhani kama itakuwa 'for the best interest of that baby' kama Salha atafanikiwa kumuadopt!
   
 4. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  hivi taratibu za kuadopt mtoto kwa tz zikoje?
   
 5. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  hilo nalo neno
   
 6. k

  kisokolokwinyo Member

  #6
  Oct 18, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  asinge mua-adopt huyo kichanga angepata hayo malez bora mnayosema kutoka kwa nani?bora amlee bip up salha
   
 7. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #7
  Oct 18, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Hapana! si vyema kuwaza kushindwa kila wakati. Tusiwe na mtazamo mbaya wa uamuzi huu, inatakiwa tumtakie yeye na mtoto maisha mema. Huenda hicho kichanga kikawa ndiyo sababu ya kumfanya asiwe mpenzi sana wa starehe kama tunavyohofia mabinti wakisha fikia hapo. Nadhani haya ni mambio ya kukuzwa katika nchi yetu.
  Kwa vyovyote vile anastahili pongezi. Ameamua kujipa changamoto kimaisha, ni jambo zuri. Mimi namtakia kila la kheri nategemea atakua mfano mzuri tu.
   
 8. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Poor child ,Katoka kwanye Tragedy ana kwenda kwnye tragedy. Nashindwa kuelewa kwa vigezo vipi , je ni ku adopt au kuwa sponcer yani kumlipia mahitaji akiwa kwnye kituo cha kulelea? maana kama mdau hapo juu aliivyo sema , sioni vigezo vya huyu Mrembo kufiti kua mama, Hii Ishu ilo under Clouds na sijui kama ni yakujilazimisha au imetumiwa busara.
   
 9. Waminshari

  Waminshari Member

  #9
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  To the people criticising miss tz. First and foremost y'all don't know her personally to make such surface judgements. Ur concern is valid but a bit extreme. Why is it so hard for people to wish someone else well instead it's always judgmental. I'm sure she has valid reasons for her crucial decision and if it were up for debate, she would have asked for people's opinion. If you want to be a critic, be constructive. Roho ya kwanini na yatamshinda haisaidii kitu.
   
 10. m

  mwacheni77 JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 764
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Apongezwe kwanza na apewe suport malezi si kipato ni maamuzi tu,kuna wazazi wanakila kitu malezi yamewashinda na ss wazazi wetu wametulea kwa shida sana na tupo hapa mwenyezi mungu kajalia,naamini ataweza cos ameamua na mungu atamuwezesha ataweza tu,kuna dada nae alikuwa miss anamlea mtt na ameweza mtt ameanza chekechea maamuzi tu tusimkatishe tamaa,big up again mungu atakutangulia
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  strategy nzuri ya kuingia miss world.
  wao: what impact have had on ur society?
  yeye: i adopted an orphaned kid blah blah my poor country blah blah
  riwa u ar right,i am also worried huyo mtoto ataenda kumtupia wazazi wake. na natumaini yeye salha hatakua a bad influence kwa mtoto (nimemkumbuka wema sepetu,kha!)
   
 12. S

  Samkyjr JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Vigezo vya kuasili mtoto ni vipi kwa tanzania? Nia ya salha ni nzuri lakini miss tanzania mwenye bado analelewa pia na mlolongo wa matukio yasiyo mazuri kwa mamiss wa hivi karibuni sijui litakalo fuata.
   
 13. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 160
  Si roho ya kwa nini....inategemea unaliangalia suala hili kwa jicho gani! Wewe umeangalia upande wa Salha, what she wants...mimi naangalia upande wa mtoto, how best can this child be served! Na mara zote kwenye adoption ndio jicho linalotumika hilo, unamuangalia mtoto na haki zake kama zitaweza timizwa na mama/mwanamke/familia inayomuadopt. Huko uliko ughaibuni wanawake/couples zinazoadopt watoto huwa zinatakiwa hata kuattend classes fulani za malezi, au wengine kuattend sessions za counselling kuwatayarisha...kwani unapoadopt mtoto kisheria ni kama wako wa kumzaa (sio jambo la mzaa mzaa tu sababu tu 'you are on camera')!

  Siku hiyo Salha alienda Muhimbili akiwa hana wazo la kuadopt mtoto...ni vizuri aliguswa na akataka kuadopt mtoto, lakini uamuzi wa kuwa na mtoto (iwe wa kuzaa mwenyewe au kuadopt) hauji ghafla hivyo in front of a camera! Ningeona ni busara zaidi kama baada ya kumuona yule mtoto akarudi nyumbani na akafikiria na kuomba ushauri jinsi gani ya kumsaidia yule mtoto, kama adoption ndio ingeonekana jibu sahihi basi na iwe hivyo...sio tu on the camera 'am going to make this baby mine, and call her Salha', it takes more than that...if youa are a parent, unanielewa nasema nini...kama bado, basi utakuja nielewa siku moja!
   
 14. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 233
  Trophy Points: 160
  King'asti...kama ilivyokuwa kwamba huzai mtoto ukitegemea wazazi wako ndio wakulelee, vile vile huadopt mtoto ili wazazi wako wakulelee! Nilikuwa nadiscuss hili na watu wa Clouds (My friend Dr Isaac Maro na wenzake) nikawaambia Miss Tz sio ajira, sio kazi ya kipato cha uhakika..wakaniambia binti kwao yuko njema, kama ndio hivyo..basi wazazi wake Salha ndio wamuadopt huyo mtoto, yeye bado! Hapa naona kabisa huyu mtoto atakuwa wa charity na kutumika kwa fund raising bla bla blaah, may be platform kuanzisha NGO or an orphanage centre...will that be for the interest of the poor child!?
   
 15. Gold Addict

  Gold Addict Senior Member

  #15
  Oct 19, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baadhi ya vigezo vya kuadopt mtoto tz ambavyo vilinishinda mimi ni kuwa uwe ndani ya ndoa na tayari uwe na watoto kuanzia wawili ambao ni wa kwaknw ili kuthibitisha uwezo wako wa kumlea..sasa sijui kama yeye ameweza kutimiza hvyo..
   
 16. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  yeye ni celebrity ndugu yangu, nadhani unajua tz tuna double stds.....
  sidhani kama hiyo ya kuwa na watoto 2+ inahitajika, manake kuna couples hazina watoto ndo maana wanaasili. ila ya ndoa sina hakika
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  riwa, i will be happier kama huyo binti atasukuma jukumu kwa wazazi (licha ya kuwa na uwezo lakini watakua wazazi na role models. kuna maskini wengi wamelea watoto wao vizuri tu). mtoto atatumika tu kumsaidia kupenya kwenye mashindano na kama unenavyo kuhusu orphanage center! ni mkakati zaidi,so sad aisee. kama alitamani kuwa na adoptive kid,why now? swali la msingi sana: kwa nini umeona umuhimu huu wa ku-adopt? kuhusu ajira ya miss tz nayo ni kizungumkuti. usimalizie influence mbaya kwa mtoto wa watu, i wld hate my kid growing up being aware of her/his looks and stuff. the inner person shld be nurtured and then the outside be magnified automatically
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  safi riwa

  what we need is the legal binding of this moral display

  asije baada ya mwaka akamtosa mhusika tu!!!

  i believe kuna namna ambayo njiapanda watakua wametumia kumanage hii risk
   
 19. Waminshari

  Waminshari Member

  #19
  Oct 19, 2011
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  When you explained it in that context, you kind of won me over. im not fully aware with the adoption system in Tanzania, but a friend of mine ilitokea hivo hivo alimchukua mtoto akakaa naye kama mwaka if not mwaka na nusu then social services (if u can call them that) wakaja kumchukua mtoto on the grounds of it was an abrupt decision on the adopting mothers part. So i have seen it happen before that someone simply falls in love with a baby and would like to take that life time responsibility, which is why i wasnt really suprised with Salhas decision BUT like you said, a parenting role is no light matter. I wasnt aware of the fact that she just saw the baby and was like i want to make her mine and that amiably there were cameras involved. But all in all, to each their own. Wishing her the best of luck in her new role, hopefully it will work out.
   
 20. IROKOS

  IROKOS JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,180
  Likes Received: 2,623
  Trophy Points: 280
  Utingo umeuliza swali ambalo nimewahi kulileta hapa JF. Pamoja na kupata mihango michache (nadhani wengi bado hawajui sheria na taratibu zake) nimeendelea kulifuatilia na kwa kweli kuna changamoto mbalimbali: mfano ni lazima watu wa ustawi wa jamii wapate background yako including visiting you several times kuona maisha yako, kufuatilia kwa majirani, mjumbe etc. Sasa ni kitu kimoja kufanya uamuzi wa ku adopt but ni kitu kingine kumpata huyo mtoto wa kumuadopt kwani ni lazima ithibitike kwamba una uwezo wa kumtunza. Ni kitu kizuri ameamua huyu miss TZ but je amefanyiwa tathmini vyombo husika kama ana uwezo wa kumtunza???

   
Loading...