Nani mpiga kinanda bora kati ya hawa?endy sekedia na victor mkambi?

BENITOO

Member
Sep 7, 2011
14
7
Sekedia ni mpiga kinanda wa siku nyingi wa bendi ya akudo impakti,victor mkambi ni mpiga kinanda wa siku nyingi wa twanga pepeta...kwa pamoja ni wapiga vinanda hodari sana nchini,je wewe unadhani ni nani zaidi??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom