Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 635
njaa mwanaharamu!
Kweli njaa mwanaharamu! Si Dokii huyu ninayemjua au ni photocopy yake!!
njaa mwanaharamu!
atapewa ubunge/ukuu wa wilaya/ mkoa muda si mrefu
Njaa saa nyingine inaweza ikukuumbua kama utakuwa huna msimamo!!!
Watamtumia kama walivyomfanya Nakaya
Halafu inaelekea wameshamharibu tayari, hebu angalia mkao wake ulivyo>>>>>
Aaah!! binafsi sioni jipya kwake coz naona matendo yake yanafanana na akili yake wacha 2 wamtumie kama ndomu aisee.
Kweli njaa mwanaharamu! Si Dokii huyu ninayemjua au ni photocopy yake!!
Kwa hiyo kwa kumuona igunga ndo munahukumu kuwa si mlokole?, kipimo chenu cha ulokole/si ulokole ni kipi?, igunga hakuna walokole?, CCM hakuna walokole?!, kwenye jukwaa la siasa hakuna waliookoka?, nielewesheni ama sivyo kaeni kimya kwani nyie hamuna mizani ya imani.