Hemed,
kamuita jaji kuwa ni mbeya tena mshamba, teana akaajiriwe mashambani na kuwa mkulima.
Akaendelea kuponda kuwa Ian hana single wala movie.
Huyu dogo must be mad.
A portrait of late singer Whitney Houston made up entirely of pills has been created by mosaic artist Jason Mecier. In the past, Mecier has made similar portraits of Amy Winehouse, Michael Jackson...
:embarassed2: Helow....................................Wasanii Tanzania mnatakiwa kushindana kwa maendeleo na si mavazi,simu,starehee na mengine mengi yanayopoteza mda msije...
kama ilivyo ada ya jukwaa hili la maceleb
ni kuwaanika hapa na kujua michango yao mbalimbali so far ya kiuchumi;kijamii na kisiasa ikibidi........
naomba kupat ainfo za huyu mdada...namzimikia...
Jamani nimemkumbuka sana First Lady wetu Salma Kikwete........sijamuona siku nyingi sana na si kawaida yae kutong'aa habarini kwa muda wote huu........ama badu kuna tetesi za hapa na pale mjini...
Kny link ifuatayo hapa chini ni wanamuziki mamilionea bongo mwaka 2008 kutoka katika blogu ya kaka Michuzi
Anaongoza Lady Jay dee Mil. 500 na wa kumi ni Mwana FA Mil. 50 duuu
MICHUZI...
Mimi ni shabaki wa kipindi chako cha The Chidy Benz Show kinachochorushwa na Eatv.Kwa mda sasa nimekuwa nikifatilia show yako,ila kuna wakati huwa naikosa kutokana na majukumu ya kikazi.Mda...
At any given time, there is always a little secret dying to burst and spill its froth into the open. And out on the many hills of Kampalas entertainment district, is a subtle industry that...
Mshambuliaji nguli wa Man City Mario Baloteli ameutetea uamuzi wake wa kutoshangilia mara afungapo goli kwa kusema kwa ufupi kwamba mashabiki ndio wa kushangilia na sio mfungaji
nakubaliana na wale wadau wa jf waliokuwa wanadai kuwa mtangazaji wa east africa radio maarufu kama zembwera ktk kipindi cha super mix, ni kilaza kwani hajui hata vipimo vya urefu!juzi anasema...
Ugomvi wa kugombea mapenz kwa mapedeshee umechukua sura mpya baada ya rehema fabian kuamiua kunwa sumu ya panya akigombea penz la pedeshee jacob,aliokolewa na rafik yake na amefunguliwa mashtaka...
Niko hapa Dar Serena, kushuhudia Fasion Show iliyoandaliwa na Tanzania Mitindo House chini ya usimamizi wa Khadija Mwanamboka.
Kama kuna mwana JF aliyehumu tutafutane.