simba wachawi

mbea sana

Member
Mar 3, 2012
12
0
Acheni kuishangilia hii timu,Mpira wa kibongo uchawi,mmeshinda usiku kucha kupanda mayai visa,simba wachawi,magoli yenu ya kimagilini sana
 
duh.!kweli akili ni nywele kila mtu ana zake..ila we una kipara..
 
Acheni kuishangilia hii timu,Mpira wa kibongo uchawi,mmeshinda usiku kucha kupanda mayai visa,simba wachawi,magoli yenu ya kimagilini sana
Duh,nakuonea huruma kama bado uko kwenye ulimwengu wa watu wanaofikiri hivyo vituko unavyosema.yani umekurupuka huko uje kutueleza hayo nakusikitikia sanaa poleeee!
 
Acha kuamini imani potofu wewe...Kiyovu wamezidiwa kiwango tu kwa sababu si wakali kihivyo.
 
Back
Top Bottom