Rehema fabian kanywa sumu akigombea penz la pedeshee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rehema fabian kanywa sumu akigombea penz la pedeshee

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Money Stunna, Feb 20, 2012.

 1. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  Ugomvi wa kugombea mapenz kwa mapedeshee umechukua sura mpya baada ya rehema fabian kuamiua kunwa sumu ya panya akigombea penz la pedeshee jacob,aliokolewa na rafik yake na amefunguliwa mashtaka ya kutaka kujiua yuko nje kwa dhamana
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  rehema fabian ndo nani?
   
 3. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Anawazimu anakunywa sumu kwani hakuna bwana mwengine kumzidi huyo Pedeshee? anataka kuuza magazeti tuu.
   
 4. i

  ivy blue carter Senior Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyoo rehema fabian ndio nani hapa mjini jaman embu tujuzenii!
   
 5. T

  TUMY JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 22, 2009
  Messages: 706
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ameamua kunywa sumu naamini she is old enough to know nini ambacho kingefuatilia hivyo aendelee na mpango wake huo then atakipata anachokitafuta.Kila lakheri Rehema Fabian.
   
 6. Mabwepande

  Mabwepande JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndio Mdudu gani huyo.
   
 7. hollo

  hollo JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 781
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Huyu atakuwa bongo movie tu
   
 8. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  sumu ya mapenzi ni maudhi yeye anakunywa sumu ya panya?mtaka kifo au mkataa kifo?
   
 9. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,541
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  Unaweza kukuta amepima akajikuta yupo connected. Hiyo ya bwana ikawa cover story . Who knws ?
   
 10. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  View attachment 47791 apo ni baada ya kunywa sumu ya panya na kuja kuokolewa na rafik yake kupelekwa mwananyamala hospital
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280

  kwa hiyo alijipaka make up, wanja malipsticki ndo akanywa sumu?
  halafu bado hujatujibu ndo nani huyu?
   
 12. s

  shosti JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  mbaya huyu mwanaume..anawala viboga na hawathamini mpaka wanahatarisha maisha yao.
   
 13. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #13
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  r.i.p rehema fabian
   
 14. P

  Popompo JF-Expert Member

  #14
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Labda me sijui kupenda!ha ha haaa eti sumu!angempotezea ingekuwaje?maumivu ni kwa kipindi!uharo mtupu!akitoka hapo anywe tena!
   
 15. k

  keke Senior Member

  #15
  Feb 22, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  me simjui, ila namwona kama bwegeeeeeee, unajiuwa kisa bwana?
   
 16. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #16
  Feb 22, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  shosti kwa hiyo huyu binti analiwa tigo?

  nipeni mawasiliano yake akipona niwahi

  kabla hajanywa tena nna hamu na hicho

  kiboga chake
   
 17. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #17
  Feb 22, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwani ni Mtanzania huyo Rehema? Ni Mwanamuziki,Mwanasiasa or model wa nchi gani tena?
   
 18. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #18
  Feb 22, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Huyu ni nani? Mcheza shoo, muigizaji, mwanamziki, mwanamitindo, mwanasiasa au nani??
   
 19. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #19
  Feb 22, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  hahahahahha!!!bongo bana kila mtu staa!sasa hii takataka gani?
   
 20. Kuku wa Kabanga

  Kuku wa Kabanga JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 804
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 80
  machangudoa cku hizi ni mastaa,ameliwa tigo ss anataka kujitoa roho,tigo tamu au chungu,naomba atujuze.
   
Loading...