Cellebreties

bluzeees

New Member
Feb 22, 2012
1
0
:embarassed2: Helow....................................Wasanii Tanzania mnatakiwa kushindana kwa maendeleo na si mavazi,simu,starehee na mengine mengi yanayopoteza mda msije kujutia mda wenu mliopoteza kwenye mambo yasio na maana.
 
Tatizo wabongo hatujui maana ya show business,ukiwa mwananmuziki au mwanamichezo maisha yako yanakua show business,sasa mbongo anakubali magazeti yamwandike,kampuni ya magazeti inapata pesa wkt yeye anapata pesa mbuzi,mfano,Wema Sepetu atujuze tangu magazeti yameanza kumwandika,wamemlipa kiasi gani,kama hawajamlipa afungue kesi ya madai,wamlipe fidia kwa kumchafua,sio wanamuanika halafu wananmpa hela ya bia,sio haki.
 
:embarassed2: Helow....................................Wasanii Tanzania mnatakiwa kushindana kwa maendeleo na si mavazi,simu,starehee na mengine mengi yanayopoteza mda msije kujutia mda wenu mliopoteza kwenye mambo yasio na maana.

hiyo title mkuu sijaelewa kitu kabisa...
Still Loading...
 
Back
Top Bottom