Janeth Sosthenes Mwenda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Janeth Sosthenes Mwenda

Discussion in 'Celebrities Forum' started by mkonowapaka, Mar 7, 2012.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  kama ilivyo ada ya jukwaa hili la maceleb

  ni kuwaanika hapa na kujua michango yao mbalimbali so far ya kiuchumi;kijamii na kisiasa ikibidi........

  naomba kupat ainfo za huyu mdada...namzimikia sana kiagape..........nnemuona jana Clouds Tv;yupo huku kumbe?
   
 2. ndegeulaya

  ndegeulaya Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi ndo yupi tena huyu mdada, mbona simkumbuki? yani nakumbuka jina tu, em niwekee picha yake hapa kwanza ili nipate kumkumbuka, nisije nikatoa wasifu wa mtu mwingine by mistake!
   
 3. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Da huyu mdada kumbe ni mzuri vile loo!
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Wa kitambo sana huyu nadhani kaolewa na Tallawa Tajiri la samaki mwanza!! Ulimuona Clouds TV kipindi gani au kwenye habari tu?
   
 5. +255

  +255 JF-Expert Member

  #5
  Mar 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Nimesikia matangazo Clouds FM ana show yake mpya inaitwa ONGEA NA JANETH ipo Clouds TV
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Mar 7, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Duu Ngoja Tuisikilizie tuone atakavyotokelezea!!
   
Loading...