Balloteli..............Mashabi ki ndio wanaopaswa kushangilia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Balloteli..............Mashabi ki ndio wanaopaswa kushangilia

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Amavubi, Mar 5, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,446
  Likes Received: 4,733
  Trophy Points: 280
  Manchester+City+v+Blackburn+Rovers+Premier+uW5R-SL3f7ft.jpg Mario+Balotelli+AkMmeCd9Wbxm.jpg
  Mshambuliaji nguli wa Man City Mario Baloteli ameutetea uamuzi wake wa kutoshangilia mara afungapo goli kwa kusema kwa ufupi kwamba mashabiki ndio wa kushangilia na sio mfungaji
   
 2. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  huyu jamaa kiboko yao! Wazungu wanaisoma namba hapa!
   
 3. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,446
  Likes Received: 4,733
  Trophy Points: 280
  Analazimika kuwa mtukutu kutokana na maisha na mazingira magumu yanayowakabili hususan wachezaji weusi!!! na kwa kweli ni uwezo wake tu wa kuoachika mabao unaomfanya apate namba katika kikosi cha Mancini.......
   
 4. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,483
  Likes Received: 5,563
  Trophy Points: 280
  Wazungu ukiwa kama mshkaji ndio utawaweza! Mtukutu alafu anajua!
   
 5. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,446
  Likes Received: 4,733
  Trophy Points: 280
  ...................amekesha klabu na kachezesha dk 90 kumkomoa kama alivyofanyiwa Rooney ambaye hakumaliza hata dk 20 anasinzia uwanjani, huyu jamaa alimaliza zote 90 na akapachika bao dhidi ya Bolton........Kwa jeuri yake ameajiri wazungu tupu kwenye vitega uchumi vyake,
   
 6. m

  mashimbamang'oma Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa namkubali sana. Jamaa anatisha... Katika mchezaji ninayemkubali huyu ni namba moja...
   
 7. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,446
  Likes Received: 4,733
  Trophy Points: 280
  Hana makuu, uwanjani yeye ni nyavu tu na kuangalia aina yoyote ya MDUDU anayetaka kumuonea....hata yalemaneno WHY ALWAYS ME...yalikuwa na maana pana sana...
   
 8. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Super mario a.k.a mnyama ni miongoni mwa athlete ninaowakubali na ni kiboko ya watu weupe!!!!baloteli na mkali wa kuitwa floyd mayweather jr
   
 9. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,446
  Likes Received: 4,733
  Trophy Points: 280
  Wengine kwa mtazamo wanamuona ni mtukutu bila kujitazama wao kwanza na mfumo uliowazunguka
   
Loading...